waziri wa vijana na michezo anafungua maonyesho ya sanaa kwa Oscar ya Ubunifu wa kiafrika

waziri wa vijana na michezo  Dokta  Ashraf sobhy alifungua maonyesho  ya sanaa kwa oscar ya ubunifu wa kiafrika  imeandaliwa miongoni mwa shughuli za ubunifu wa  oscar  wa afrika inatekelezwa na wizara ya vijana na michezo kwa kushirikiana na tume ya umoja wa afrika itaendelea shughuli zake hadi tarehe 10 septemba mwaka 2019  katika Kairo na Fayoum

maonyesho hayo yalionyesha picha za uchoraji wa mafuta na upigaji picha , kuchora , kazi za sanaa na sarakasi kwa washiriki kutoka bara la Afrika kwenye  oscar ya Ubunifu wa kiafrika.

waziri wa vijana na michezo alisifu kazi za sanaa zilizojumuishwa katika maonyesho hayo , alisisitiza kwamba bara la afrika ni bara la kijani ambalo limebarikiwa na vipaji vingi vya vijana katika nyanja mbalimbali

inasemwa  oscar ya Ubunifu  wa kiafrika imeandaliwa pamoja na urais wa Misri wa Umoja wa kiafrika katika mfumo wa Aswan ni mji mkuu  wa vijana waafrika , pamoja na ushiriki wa vijana kutoka nchi : Sudan , Sudan kusini , Ethyopia , Tunisia , Muritania , Tanzania , Somalia , Uganda , Jamhuri ya Kongo ya  kidemokrasia , Chad , Zambia , Visiwa vya komoro , Malawi , Nigeria , Camerun , Tugo , Kenya , Madagashka , Afrika Kusini pamoja na Misri

Comments