Waziri wa vijana na michezo anawaheshimu vijana wa timu ya kitaifa ya mpira wa wavu na anaongeza tuzo yao ya kifedha kwa paundi elfu arubaini na tatu
- 2019-09-04 12:50:58
Dokta Ashraf Sobhy
amesisitiza kwamba matokeo yaliyohakikishwa kwa timu ya kitaifa ya kipekee ni
heshima sana na kuita kwa matumaini ya mustakabali wa mchezo hiyo na matokeo
hayo yamesisitiza mageuzi ya mchezo mnamo kipindi kilichopita, akiongeza kwamba
Misri inajivunia wachezaji hao ambao watakuwa nguzo kuu za timu ya kitaifa ya
kwanza kupitia miaka ijayo hasa mwaka wa 2030, kwa hivyo sisi kama wizara yenye jukumu kwenye michezo
tunasaidia kwa kifedha na maadili kila mtu mwenye ubunifu, pia Waziri wa vijana
na michezo amesisitizia kwamba mipango yote na mikakati inayohusiana na makundi
yenye umri huo ikiwa ni wavulana au vijana inafuatiwa na idara maalum za
wizara.
Waziri wa vijana na
michezo amwambia wachezaji waliokuwa na furaha kubwa kwa mkutano huu kwamba
rais Abd Alfatah Elsisi kibinafsi anajali kwa michezo aliyeisifu kwa usalama wa
kitaifa na nguvu laini ya nchi, na ni lazima tunawekezesha msaada huo haujawahi
kufanywa na tunajitahidi kwa ajili ya tunakuwa bora zaidi.
Kuhusu uwezekano wa
usajili wao katika michuano ya kiarabu iliyofanyika katika sehemu ya kwanza ya
mwezi wa Septemba nchini Yordani, Waziri amesisitizia kwamba hakubali ushiriki
wa kuheshimu tu, lakini anataka uwepo wa lengo moja ambalo ni kushinda medali
ya kidhahabu na hakubali ushiriki wa kuheshimu au kuacha matokeo kwa bahati.
Gaber Abd Alaty,
mwenyekiti wa kamati ya kiufundi amesisitiza kwamba msaada wa kudumu wa Waziri
na mahudhurio yake kwa baadhi ya mechi za michuano nchini Tunisia umekuwa na
athari kubwa katika kisaikolojia ya wachezaji ambao wote wamesisitiza kwamba
mahudhurio ya Waziri yamezidi imani yao na yamewatoa tamaa kwenye kuhakikisha
matokeo yenye heshima.
Pia Abd Alaty
amesisitiza kuwa anashuhudia kwa mara ya kwanza waziri au afisa wa nchi
anasimama na timu za kitaifa kabla, baada na wakati wa mashindano mbalimbali
ili kuhimiza kwao, na inayofanywa kutoka kujali kutoka nchi kwa michezo ni
matokeo mazuri yanayochangia kuhakikisha michuano na kuinua bendera ya Misri
kijuujuu.
Huku Sharif Alshmrly
amesema tuna mpango na mkakati mpaka 2030 yanayohusu kuandaa kwa timu za
kitaifa za 2014 na 2001 kwa mashindano makubwa yajayo.
Hassan Alhussry,
mkurugenzi wa kiufundi wa timu ya kitaifa chini ya miaka 19 amesisitiza kuwa
msaada wa maadili wa Waziri na kutembelea kwa timu katika makaazi yake nchini
Tunisia kunafanya wachezaji wanahisi
umuhimu wao na pia kujali kwa nchi kwao kunawafanya wanahisi kwa jukumu,
akisema : "licha ya nimeshiriki katika mashindano 6 ya zamani ya dunia,
lakini kwa mara ya kwanza ninahisi kwa hali nzuri hii na kujali kwa nchi
kunakuwakilishi katika waziri wa vijana na michezo hasa kwa timu za kitaifa
zenye umri mdogo.
Mwishoni mwa mkutano
huo, Waziri wa vijana na michezo amesisitizia ukubali wake kwa kuongeza kwa
tuzo ya kifedha ya ushindi wa timu ya kitaifa ya Misri ya mpira wa wavu kwa
pauni elfu arubaini na tatu ya kila mchezaji, jambo ambalo limefanya wachezaji
wanasimama kutoka furaha, pia amewasisitiza kwamba yeye binafsi ataingia kwa
kutatua tatizo lolote linalohusiana na elimu yao ikiwa na wizara ya elimu au
wizara ya elimu ya juu.
Comments