Taasisi kuu ya uwekelezaji na maeneoya uhuru inaonyesha utaratibu wa kupanga mkutano wa Afrika mwaka 2019

Baraza la taasisi mkuu kwa uwekezaji na maeneo ya uhuru ulifanya mkutano aliyeongozwa na Dokta Sahar Naser waziri wa uwekelezaji na ushirikiano wa kimataifa kwa hudhuria mshauri Muhamed Abdel Fatah anayetekeleza kazi za mkurugenzi wa utekelezaju wa taasisi mkuu wa utekelezaji na maeneo ya uhuru ;na mkutano huo ulitafuta maandalizi ya taasisi kuu ili kupanga mkutano wa mwaka 2019 barani Afrika iliyofanika chini ya dhamini Rais Abdel Fatal El Sisi kwenye kipindi cha Novemba 22 hadi 23mwaka 2019 mjini mkuu wa mpya wa utawala ;na ulipangwa na wizara ya uwekelezaji na ushirikiano ya kitaifa na wizara mbili;wizara ya mambo ya nje;biashara na sekta .mkutano huo ulihudhuriwa na idadi ya maraisi ya dola ;serekali na waziri za Afrika.ikiwa ni pamoja na wawakilishi na idadi ya taasisi za kimataifa na waume wa kufanya kazi na wawekelezaji na wahusika wakuu kwa lengo la kuvuta uwekelezaji barani Afrika.

mkutano huo ulionyesha idadi kutoka kampeni ambayo inafanikwa na taasisi mkuu kwenye kipindi kijacho ili kusambaza fursa za uwekelezaji hasa miradi ya umma ya kubwa.

wizara ilisisitiza kwamba wizara na taasisi zinafanya kwa kusambaza fursa za uwekezaji kwenye miradi yote ya umma hasa kwenye vyombo vya habari ya kimataifa.

Comments