"Nesma Mahgub" anaendeleza sherehe ya Ufunguzi wa kombe la dunia la "wasichana wa mpira wa wavu" mjini Ismailia

 leo , Msanii Nesma Mahgub anaboresha  sherehe ya  ufunguzi  wa michuano  ya kombe la dunia  kwa  mpira  wa  wavu  wa watoto  wanao chini ya  umri 18 . Ulioandaliwa  kufanywa kwenye  ukumbi  wa taasisi ya mfereji  wa  Suez  mjini  Ismalia.

 Na  sherehe  iliandaliwa kufanywa  saa  moja  jioni (7 ) kwa  hudhuria  waziri  mkuu  "mhandisi Mostafa Madbuli " ,  waziri  wa  vijana  na michezo  " Dokta  Ashraf Sobhy "   , mwenyekiti  wa  kamati ya olimpiki  " mhandisi  Hisham  Hatab "   , mwenyekiti wa  umoja  wa  Afrika wa mchezo   "Omar Alwani "  na  mwenyekiti  wa umoja  wa kimisri  " Ahmed  Abd Eldaim " . Pamoja  na  idaadi  ya  mabalozi  wa  nchi  zinazoshiriki  katika  michuano   .

 

Na  sherehe  ya  ufunguzi  inakusanya  mstari  wa  kuonesha  timu  zinazoshiriki  katika  michuano  kisha  onesho  la sanaa,   linalowasha Moto   na msanii " Nesma  mahgub ". Pamoja  na  kuanza  mechi  ya  Misri  na  Butiriku  katika  mechi  ya  kwanza  kutoka  awamu  ya  kwanza  saa  tatu  jioni  (9) .

Na  michuano inashuhudia  ushiriki  wa  timu 20 nazo  ni  :- Brazili , Canda,  Ajentina  , Bulgaria, Kameruni, Italia,  Belarusi, kongo, Uchina,  korea, Romania,  Japan,   Misri ,Meksiko, Urusi, Peruu, Puerto Riko, Thailand, Uturki, Marekani  .

 

Na mechi  ilipelekea timu ya  kitaifa  kuwa  katika  kundi  la  kwanza  pamoja  na  timu  za  Barazili  , Kameruni  , Uchina , Buerto Riko.

 

Na makundi yanayoandaalewa  kama  yafuatayo :-

 

Kundi  la  kwanza  :- Misri  ,Brazili  ,Uchina  ,

Kameruni na Buerto Riko.

 

Kundi  la  pili :- Canda  Italia  ,Korea, Meksiko na Marekani.

 

Kundi  la tatu :- Ajentina, Belarusi, Romania  ,Urusi na Thailand .

 

Kundi la  nne  :- Bulgaria, Kogo, Japani, Peruu  na  Uturki .

 

 Ukumbi  wa  taasisi ya  mfereji  wa Suez mjini  Ismalia  unakaribisha  mechi za  makundi  ya  kwanza  na  ya  pili   wakati  ambapo  mechi  za  makundi  ya  tatu  na  ya  nne zinachezwa  kwenye  kumbi  2  miongoni  mwa  kumbi  zinafunika  katika  uwanja  wa  Kairo.

Comments