wizara ya vijana na
michezo iliandaa mashindano kwenye filamu fubi miongoni mwa shughuli za oscar
ya ubunifu wa kiafrika , inayotekelezwa kwa wizara ya vijana na michezo kwa
kushirikiana na tume ya umoja wa afrika na itaendelea hadi tarehe 10 septemba
huko Kairo na Fauyoum
miongoni mwa filamu
ambazo huchaguliwa kupata oscar ni filamu " the green killers "
kutoka Tugo , filamu " namba ya rania " munira " kutoka Misri " bado
hajamaliza " kutoka Mauritania
" kutosha " kutoka Sudan kusini , " Alia " Na "
je , wewe ni nani " kutoka Somalia , " restoring northern chapter
" kutoka Uganda , " Bi arusi arobaini " kutoka sudani na "
jethwa " kutoka Kenya
tume wa usuluhisho
katika uwanja wa filamu fupi katika oscar ya ubunifu wa kiafrika linaundwa na
Dokta Ghada Jbara makamu wa mkurugenzi wa chuo cha sanaa , mkurugenzi Hani
Khalifa na mkurugenzi wa upigaji picha Ahmed Hussein
nchi zinazoshiriki
katika oscar ya ubunifu wa kiafrika : Sudan,
Sudan kusini , Ethyopia , Tunisia
, Muritania , Tanzania , Somalia , Uganda , Jamhuri ya Kongo ya kidemokrasia , Chad , Zambia , Visiwa vya Komoro , Malawi
, Nigeria , Camerun , Tugo , Kenya , Madagaska , Afrika kusini pamoja na Misri
Comments