kazi 33 za kisanaa ndani ya shindano la sanaa katika oscar ya ubunifu wa kiafrika

vijana wa kiafrika wanaoshiriki  katika mashindano ya sanaa ya oscar ya ubunifu walidhihirisha ubunifu wao wa kisanii miongoni mwa shughuli za oscar iliyoandaliwa kwa wizara ya vijana na michezo kwa kushirikiana na tume ya umoja wa afrika na inaendelea hadi tarehe ya  10 Septemba mwaka wa 2019 huko Kairo na Fayuom

tume wa usuluhisho wa sanaa ilijadili washiriki 33 kutoka nchi mbali mbali za kiafrika katika nyanja za uchoraji wa  mafuta , uchoraji , kazi za sanaa  , upigaji picha na Sarakasi

kamati ya sanaa ya oscar ya ubunifu wa kiafrika ni pamoja na mkurugezi wa kitivo cha sanaa Dokta Safia Al - Qabbani , Dokta Asmaa El - Nawawy idara ya uchoraji katika kitivo cha sanaa na msanii wa Sarakasi Ibrahim Hunaiter

nchi zinazoshiriki katika oscar ya ubunifu wa kiafrika : Sudan , Sudan kusini , Ethipoia , Tunisia , Muritania , Tanzania , Somalia ,  Uganda , Jamhuri ya  Kongo ya kidemokrasia , Chad , Zambia , Visiwa vya komoro , Malawi , Nogeria , Camerun , Tugo , Kenya , Madagaska , Afrika kusini , pamoja na Misri

Comments