" vijana na Michezo, inatangaza Tuzo la Ubora kwa vijana waafrika waandishi wa vyombo vya habari, katika uwanja wa vijana na michezo"
- 2019-04-11 01:06:19
Kwa uongozi wa Dokta "Ashraf Sobhi", wizara ya Vijana na Michezo inatangaza Tuzo la Ubora kwa vijana waafrika wa vyombo vya habari katika uwanja wa Vijana na Michezo, kulingana na mchango wake wa kuwahimiza vijana wa kiafrika katika nyanja zote, na shindano hilo linalenga kusisitiza maana za shughuli adhimu za vyombo vya habari, na linaita ubunifu na maoni huru yenye misingi, pamoja na kutoa mwanga juu ya Umuhimu wa mchango wa vyombo vya habari na athari yake juu ya vijana na Michezo. Na tuzo hilo linapewa kwa wabora na wabunifu katika uwanja wa uandishi wa vyombo vya habari vya kimchezo.
Na tuzo hilo linazingatiwa ni la kwanza toka namna yake katika historia ya wizara ya vijana na michezo, kwa kuwaheshimu vijana waafrika waandishi wa vyombo vya habari wanaojali masuala ya vijana na michezo katika bara lenye giza; ili kuwahimiza waandishi wa vyombo vya habari na watafiti, kuandika maudhui nzuri za kimaandishi, Runinga, na kwa Idhaa, pamoja na tafiti za kisayansi na za kutumiwa.
Kwa upande wa masharti ya kiujumla ya mashindano, utasajili kupitia fomu hii ya maombi inayohusiana na wizara ya vijana na michezo, na uchaguzi kwa tuzo hilo hufanyikwa kupitia kutuma kazi kwenye fomu iliyotajwa juu, lakini umri ya mwombaji haipaswi kupita miaka 40.
Na tuzo la Ubora wa kiafrika linapa cheo cha kwanza Dola Marekani elfu mbili, na Kombe la Ubora, na cheo cha pili kitapewa Dola Marekani elfu moja, Mia tano pamoja na Kombe la Ubora, na cheo cha tatu kitapewa Dola Marekani elfu, pamoja na Kombe la Ubora.
https://docs.google.com/forms/d/e/1FAIpQLScsHtoNYi9fEp3Cj8yl56Lvy3Z9QjkMrzdpLeL-UYKErS0kEw/viewform
Comments