Wizara ya vijana na michezo ilipanga ziara ya
kutembelea mkoani Fayum kwa vijana wa kiafrika wanaoshiriki
katika OSCAR ya ubunifu wa kiafrika , ambayo imafanyiwa kea wizara ya vijana na
michezo kwa kushirikiana na tume ya shirikisho la Afrika na itaendelea hadi
tarehe 10 septemba mwaka 2019 , huko Kairo na Fayum .
Jenerali Esaam Saad mkuu wa mkoa wa Fayum , na Dokta Sayed
Hazin aliwapokea vijana wa kiafrika
wakati walipofika Fayum , mkuu wa mkoa wa Fayum alipanga mkutano vijana katika ukumbi mkubwa wa
maadhimisho katika korti kuu ya mkoa , akiwakaribisha wajumbe
wanaoshiriki , akisisitiza mahusiano ya kihistoria yaliyo yenye nguvu baina
Misri na nchi za kiafrika , akiashiria
umuhimu wa kubadilishana kielimu na kitamaduni kati ya nchi tofauti za
kiafrika , akiashiria umuhimu wa rais
Abdel Fattah Al Sisi , rais wa jamuhuri ya Misri kwa vijana wa kimisri na
kiafrika .
Ziara ya vijana wa kiafrika kwa Fayum ilijumuisha kutembelea
hifadhi ya Wadi El Rayan , na ziara ya mlima wa Almadwara katika kituo cha
Yousef Al sedik huko Fayum , na ziara ya kijiji cha Laiali El Arab cha kiutalii
, na kijiji cha Youes ambacho kiko kwa umbali wa karibu kilo 60 na mji wa Fayum
, na
ambacho kiko mbele na ziwa
la Karon , na walijua matengenezo mashuhuri zaidi ya Fayum kama ya
Mapambo .
Inatajwa kwamba nchi zinazoshiriki katika OSCAR ya ubunifu
wa kiafrika vijana wanatoka Sudan , sudani kusini , Ethiopia , Tunisia ,
Mauritania , Tanzania , Somalia , Uganda , Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
,chad , Zambia , Gambia , Visiwa vya Komoro, Malawi , Nigeria , Kamerun , Tugo
, Kenya , Madagaska , Afrika kusini , Burkina Faso na Misri .
Comments