Waziri ya vijana na michezo inakaribisha mkuu wa shirikisho la kimisri la Judo

 Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo alikaribisha Motea Fakhr Eldeen mkuu wa shirikisho la  kimisri la Judo anafuatana na Marzouk Mohammed naibu wa mkuu wa umoja katika ofisi yake. Mkutano ulijadiliwa maandalizi ya shirikisho kwa  mashindano ambapo utakaoshiriki  katika siku zijazo na hasa maandalizi yake kwa olimpiki ya tokyo 2020 na kupitia Mkutano Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo alisisitiza usaidizi kamili wa wizara ya vijana na michezo kwa umoja wa judo  akiashiria kwamba wizara haifanyi na haitajaribu juhudi katika usaidizi wa umoja wote wa spoti ili kufikia tija bora zaidi ili kuinua bendara ya Misri juu ya majukwaa ya sherehe

 

Na waziri ya vijana na michezo aliashiria kwamba mabadiliko ya sasa ambayo spoti ya Misri inashuhudia katika michezo mbalimbali  ya spoti ni matokeo  kwa makini kubwa kutoka uongozi wa kisiasa ili kusaidia harakati ya spoti ambapo unazingatia kama usalama wa kitaifa

 

Na waziri wa vijana na michezo aliongeza kwamba kipindi kijacho ni awamu muhimu na sahihi akisistiza  juu ya haja la kujitolea na uwiano wa  wanachama wote wa shirika la spoti kwa mipango na mipangilio mahususi kwa kuibuka kwa Misri kwa kiwango cha juu na cha heshima na inyofaa kupitia olimpiki ya Tokyo 2020

Comments