timu ya Romania inashinda timu ya Argentina kwa matokeo 3/0 katika mashindano ya ulimwengu ya wasichana wa mpira wa wavu
- 2019-09-06 14:13:07
Timu ya wasichana wa Romania wa mpira wa wavu imeshinda mwenzake timu ya Argentina kwa 3/0 mnamo siku
za kwanza za mashindano ya kundi la tatu la
mashindano ya ulimwengu ambayo inaalikwa na Misri katika uwanja wa
Kairo.
tija ya mechi imetokea kama ifuatayo:(25/17),(25/21,(25/23).
Kundi la kwanza katika mashindano linajumuisha :Misri,
Brazil, China, Cameron, Portriko.na katika kundi la pili ni:Canada, Italy,
Korea, Mexico, Marekani. Na katika kundi la tatu ni:Argentine, Belarusi, Roman,
Urusi, Thailand. Na katika kundi la nne ni: Bilgharia, Kongo, Japan, Pero,
Uturki.
Kumbe la usimamizi wa mfereji wa suez mjini Ismailia linayaalika mashindano ya
kundi la kwanza na la pili, wakati ambapo mashindano ya kundi la tatu na la nne
yanafanyika katika Kumbe la pili katika maeneo ya Kumbe za uwanja wa Kairo.
Comments