Timu ya Japan inashinda timu ya Uturki katika mashindano ya dunia ya wasichana wa mpira wa wavu

Timu ya wasichana wa mpira wa wavu wa Japan  imeshinda juu ya mwenzake wa Uturki kwa   3/2 katika siku ya pili ya mashindano ya kundi la nne la  mashindano ya Dunia ambayo inaalikwa na Misri katika uwanja wa Kairo.

 

Tija ya mechi imetokea kama yafuatayo:(25/23),(26/28,(25/23),(25/12),(15/9).

 

Kundi la kwanza katika mashindano linajumuisha :Misri, Brazil, UChina, Cameron, portriko . na katika kundi la pili ni:Canada, Italy, Korea, Mexico, Marekani. Na katika kundi la tatu ni:Argentine, Belarusi, Romania, Urusi, Thailand. Na katika kundi la nne ni:Bilgharia, Congo, Japan, Pero, Uturki.

 

Kumbe la usimamizi wa mfereji wa Suez mjini Ismailia linayaalika mashindano ya kundi la kwanza na la pili, wakati ambapo mashindano ya kundi la tatu na la nne yanafanyika katika Kumbe la pili katika maeneo ya Kumbi za uwanja wa Kairo.

Comments