Ali Farag anakamilisha pembetatu ya kimisri katika mchezo wa nusu fainali ya michuano ya skwoshi nchini Uchina

 Bingwa mmisri, Ali Farag, mchezaji  wa wady degla wa namba ya kwanza wa skwoshi , amekamilisha pembetatu ya kimisri kushinda  nusu fainali ya  michuano ya "JP Morgan "UChina wazi , itakayopigwa mjini Shanghai kutoka 4-8 Septemba.

 

Ali Faraj alishinda mpinzani wake Mwingereza Tom Richards kwa michezo mitatu dhidi ya michezo miwili kwenye mechi iliyochukua dakika 66 na tija ikaja kama ifuatavyo: 14-12, 6-11, 11-4, 9-11, 11-5.

 

Ali Farag alijiunga na wawili wamisri Mohamed na Marwan El Shorbagy, na bingwa wa wady degla akikabili mwenzake Sourav Guzal wa India katika mchezo wa nusu fainali.

 

Michuano  wazi ya UChina   ni mashindano ya kwanza katika msimu mpya wa 2019/2020, na thamani  ya tuzo zao ni dola 112,000 kwa wanaume na kwa wanawake

Comments