Marwan Al shorbagi anashinda nusu fainali ya mashindano ya Uchina Skwashi

mchezaji mmisri Marwan Al shorbagi , mchezaji namba kumi na moja duniani kwa wanaume Skwashi , aliyeshinda  nusu faniali kwa michuano wazi ya " JP morgan "  Uchina  , huko Uchina  kutoka septemba 4 hadi 8

Al- shorbagi alishinda mwenzake Omar Musad na kukimbia safi mara tatu katika mechi ya dakika 55 tu , na Tija ya kukumbia kama ifuatavyo : 11-5, 13-11 , 15-13

wakati mchezaji Mazen Hesham alishindwa mashindano kutoka mechi nne mbele ya mchezaji wa hindi Soarif Gozial kwa mbio tatu hulinganishwa mbio moja kwenye mechi iliyodumu dakika 67 , na matokeo yake yakaja kama ifuatavyo : 12-10, 11-9, 12-14,11-17

   na michuano wazi ya Uchina huzingatiwa mashindano ya kwanza katika msimu mpya wa 2019/ 2020  na gharama za tuzo ya dola 112, 000 kwa wanaume na pia kwa wanawake

Comments