Sanamu ya " Abu al-Hol " inaambatana na washiriki katika Oscar ya ubunifu wa Kiafrika katika Safari kwa zama kale za kimisri na piramidi za Giza
- 2019-09-07 13:23:30
wizara ya vijana na michezo imepanga ziara kwa eneo la sanamu ya Abu al-Hol mjini Giza chini ya shughuli za tuzo ya ubunifu wa Afrika ambayo inapangwa na wizara ya vijana na michezo kwa ushirikiano na tume ya umoja wa Afrika na shughuli zake zitaendelea mpaka tarehe 10 mwezi wa septemba mwaka wa 2019 katika Kairo na El Fayum .
wageni waafrika wanao ni vijana
waerevu walitazama machongwa makubwa ya
zamani yanayojulikana kama sanamu
ya ubunifu na
inayokuwepo katika Giza ng'ambo ya magharibi ya
mto wa Nile .
Wageni waafrika
wamejua wakati ziara yao kwa
eneo la Abu al-Hol historia kale ya kimisri
, muhimu zaidi wa famila za kifarau na
vitu vya kifrauni vya kale vilevile, lile linalotafautishwa ustaarabu
wa kimisri amabo imekuwepo tangu maelfu ya miaka .
Vilevile , vijana
waerevu waafrika walizuru eneo
la piramidi tatu
na eneo la maoesho ya
kisanaa
Wageni
wanasikiliza kwa maelezo ya
kina kwa historia ya
eneo na vitu vya kale
muhimu zaidi ndani yake.
Inatajwa kuwa
nchi zinazoshiriki katika
tuzo ya ubunifu wa kiafrika
ni vijana kutoka
Sudan , sudan ya kusini ,
Ethiopia , Tunisia, Mauritania,
Tanzania , Somalia ,Uganda,
Kongo ya demokrasia ,Chad, Zambia, Gambia, visiwa vya
comors , malawi, Naigiria,
kameruni ,Togo ،
Kenya , madkaska, Afrika
ya kusini , Burkina
fasu , Ghana pamoja
na Misri.
Comments