Toleo la kwanza kwenye kombe la dunia kwa mchezo wa wavu
iliyofanika nchini Barazil ilishuhudia ushirikiano wa timu 12;kama Muungano wa
Soviet (Urusi )
Barazil;Arjantina;Bulgharia;kanada;koba;Jabani;Newzolanda;Biro;Korea ya
kusini;Marekani na Aragwai.
Nchi ya Barazil ni nchi ya pekee iliyoshiriki kwenye
ubingwa yoyote ya dunia kwa mchezo wa wavu kwa vijana chini ya umri 18.
Tolea ya kisasa kwa michuano ya dunia la wavu kwa vijana itayofanikiwa
mjini Kairo itashuhudia ushirikiano wa
timu mbili kwa mara ya kwanza kwenye ubingwa nchi hizo kama;Cameron na Kongo ya
kidemokrasia.
Miongoni mwa nchi ya ulimwengu kuna nchi tano zitashiriki
kwenye michuano ya dunia kwa mchezo wa
wavu kwa vijana ni Barazil iliyoshiriki kwa mara 16;Italia na Urusi zilishiriki
kwa mara 13;jaban ilishiriki kwa mara 14 ;Uchina na Korea
kusini zilishiriki kwa mara 12;Arjantina na Marekani zilishiriki kwa
mara 11.
Vile vile kuna timu 13 kwenye michuano ya dunia kwa mchezo
wa wavu kwa vijana zilishiriki tango ya ilizindua hadi sasa mara moja tu.nchi
hizo kama;Nemsa;Cameron ;Kololombia;Kongo ya
kidemokrasi;Yonya;Magari;Iatfi;Mako;Newzalanda;Naigeria;uhusbania;Oragwai;Fenzwela.
Ulaya ni nchi inayopanga michuano ya dunia kwa wavu kuliko mara ambapo iliupanga
kwa mara 7.na bara la Asia inakuja kwenye daraja la pili baada ya ulaya ambapo
iliupanga kwa mara 4;Marekani ya kusini kwa mara 3;Marekani ya kaskazini kwa
mara moja tu;na Afrika kwa mara yake ya
kwanza kupitia na Misri inayopanga toleo hii ya kisasa kwenye michuano.
Tayland ni nchi iliyokaribisha kuliko mara tatu kwa ubingwa
wa dunia kwa wavu la vijana.
kwenye mwaka 1997;2009;2013;ikifuatayo Ureno iliyopanga
michuano kwa mara mbili mwaka 1991/1999.
Wabingwa wa mashindano
Timu ya Uchina ni
timu iliyeshinda zaidi kwa ubingwa wa dunia la wavu kwa vijana mara ya nne na
hiyo ilikuwa mwaka (2001,2003,2007,2013)
Vile vile kuna timu 7 zilishinda kwa ubingwa wa dunia la
wavu kwa vijana ni Urusi ,Korea
kusini,jaban,barazilia,Uchina ,Uturki
na Italia.
Timu ya Barazilia ni timu iliyeshinda kuliko mara kwa
nafasi tatu za kwanza kwa mara 9.ambapo ilipata nafasi ya kwanza kwa mara 3 na
nafasi ya pili kwa mara 4 na nafasi ya tatu kwa mara 2.ambapo ikifuatayo
Urusi kwa mara 8;ambapo nchini ya urusi
ilipata nafasi ya kwanza kwa mara 2 ;nafasi ya pili kwa mara 3;nafasi ya tatu
kwa mara 3;na ikifuatayi Uchina na
italia kwa mara 6.ambapo china ilipata nafasi ya kwanza kwa mara 4;nafasi ya
pili kwa mara moja na nafasi ya tatu kwa mara moja pia.ambapo Italia ilipata
cheo kwa mara pili na nafasi ya pili kwa mara moja na nafasi ya tatu kwa mara
moja pia.
Nchi zilikuwa zipo kwa nguvu kwenye michuano ya dunia ya
wavu kwa vijana tangu mwanzo wake hadi
sasa ni;Barazil ilikwepo kwa mara 10;urusi kwa mara 8;Italia kwa mara
7;UChina kwa mara 6;Uturki na Japan
na Korea kusini kwa mara 5.
Namba ya Misri na timu za kiarabu na kiafrika
Misri ni nchi ya kwanza miongoni mwa nchi za kiarabu na kiafrika
inayokaribisha ubingwa wa kombe la dunia la wavu kwa vijana tangu ilifaywa hadi
sasa.ambapo ubingwa haikaribishwa na nchi za kiarabu na kiafrika yoyote kabla
hiyo.
Hakuwahi kwa timu ya kiarabu au kiafrika kuwepo kwenye
mraba wa dhahabu kwa ubingwa wa dunia la wavu kqa vijana tango mwanzoni hadi
sasa.
Aljeria ni timu ya kwanza
ya kiarabu na kiafrika iliyoshiriki kwenye ubingwa wa dunia la wavu kwa
vijana na hiyo ilikuwa kwenye ubingwa wa 1991 nchini ureno na misri inakuja
kama timu ya pili inayoshiriki kwenye ubingwa mwaka 1883 nchini chiki.
wakati ambapo Aljeria ilishiriki kwenye ubingwa wa dunia la
wavu kwa vijana kwa mara ya kwanza mwaka 1991 ikichukua nafasi ya 12.wakati
ambapo misri ilishiriki kwa mara ya kwanza na ilichukua nafasi ya 9 mwaka 1993.
Timu ya Misri ni miongoni mwa timu ya kiarabu na kiafrika
iliyoshiriki kwenye ubingwa wa dunia la wavu kwa vijana kwa mara 8 ikifuatayo
Tunisia kwa mara 4 na Aljeria kwa mara 3 kenya na Morishios kwa mara 2.
Timu yaya Misri ni timu wenye nafasi ya bora miongoni mwa
timu ya kiarabu na kiafrika kwenye kombe wa dunia kwa wavu;ambapo ilichukua
nafasi ya tisa kwa mara mbili mwaka 1993 na 2005.
Comments