Baraza la Idara ya Umoja wa Mchezo wa Karate ya jadi chini
ya uongozi wa Rami Almikawy linaandaa mchuano wa Afrika uliofunguliwa na
mchuano wa Almarhumi wa kimataifa kwa ushirikiano wa Umoja wa Afrika wa karate
ya jadi chini ya uongozi wa Ebrahim
Albakr.
Mchuano utafanyika
kuanza katika kipindi cha 25 hadi 30 Aprili , mjini Kairo kwa kuhudhuria Maprofesa wa
kimataifa wa Karate ya jadi , mwanzono mwao Dk Gilberto Jartinr Mwenyekiti wa
Umoja wa kimataifa, na Sensei Richard Jorgensen Mwenyekiti wa tume ya fundi ya
juu kweneye Umoja wa Kimataifa ,na Sensei Watan Bi mwanachama wa kamati ya
Al-shihan Kay ya kimataifa.
Nchi kumi zitashiriki katika mchuano huu nazo ni :
Misri, Algeria, Palestina, Tunisia, Ufaransa, Brazil,
Canada, Uzbekistan, Italia na Sudan.
Comments