Waziri wa vijana na michezo : timu ya kitaifa ya wasichana wa mpira wa wavu inawaza kuongeza mafinikio mapya kwa michezo ya kimisri

 Dokta Ashraf Sobhy ni waziri wa vijana na michezo alipendekza ,kushinda muhimu iliyohakikishwa kwa timu ya kitaifa kwa mpira wa wavu kwa wasichana chini ya miaka 18  juu ya mwenzake wa Cameron kwa  1/3 , kupitia mechi  ilizikusanya  katiika siku ya Ijumaa  jioni ,miongoni mwa mashindano ya mechi ya pili kutoka michuano ya dunia inayofanyawa sasa nchini Misri na inaendelea mpaka siku ya 14 mwezi wa Septemba huu .

 

Waziri wa vijana na michezo alisistiza katika matangazo   yaliyotangaza leo kwa wizara  ,kwamba timu ya kitaifa ,kuongozwa na Kocha wa Brazil Marco Antonyoni ni mkurgunzi wa ufundi anayetoa mtendaji mzuri baada ya kushinda katika mechi mbili juu ya Bortrecona Cameron ,akisistizia kusaidia wasichana wa Mafarao pia wanamilki uwezo mzuri ili kuendelea njia yao katika michuano na kuongeza mafinikio mapya kwa michezo ya kimisri .

 

Waziri wa vijana na michezo alisistizia kwamba matukio mazuri kwa timu za mpira wa mikono kwa vijana na timu ya vijana kwa mpira wa wavu na matukio ya kikao cha michezo ya kiafrika yaliongeza roho ya wamisri katika michuano yote kwa ajili ya kuhakiksha matukio  mazuri katika michuano ya michezo tofauti kupitia hivi karibuni hasa chini ya msaada mkubwa wa umma .

 

Imetajwa kwamba timu ya kimisri inapampana mwenzake wa Uchina  siku ya jumamosi ,na pia mechi za kundi la kwanza katika michuano ya dunia kwa mpira wa wavu kwa wasichana itamaliza kwa mechi kati ya timu mbili ni Misri na Brazil katika siku ya jumatatu ijao .

 

Imetajwa kwamba michuano inashirkia timu 20 kugawanywa vikundi vinne ,ni kikundi cha kwanza na  cha pili .

Comments