Mamlaka ya Maendeleo ya mauzo ya nje inapanga wiki ya kibiashara ya kimisri ya kwanza nchini Tanzania

 Mamlaka ya Maendeleo ya mauzo ya nje inapanga Wiki ya kibiashara ya kimisri ya kwanza barani Afrika mjini mwa Dar El Salam nchini Tanzania kupitia kipindi cha 10 - 14 mwezi Septemba kwa kushirikia kwa makampuni kumi na tano  ya kimisri kutoka nyanja za Vifaa vya ujenzi , bighaa za kemikalina za uhandisi na Dawa na hivyo ni katika mfumo WA mpango WA mamlaka ya maendeleo ya mauzo ya nje ili kukuza bidhaa za kimisri za nje

 

Na wiki ya kibiashara ya kimisri ya kwanza inapangwa na ofisi ya uwakilishi ya kibiashara ya kimisri mjini mwa Dar El Salam kwa lengo la kuongeza mauzo ya nje ya kimisri kwa soko la Tanzania na pembezoni mwa wiki ya kibiashara , ziara kwa masoko makubwa katika Tanzania itapangwa pamoja na kufanya mikutano na makampuni na mamlaka za Tanzania zinazopewa makini kwa bidhaa za kimisri

 

Na Inafahamika kwamba wiki ya kibiashara kufuatana na Udhibiti na kanuni zinazopanga shughuli za kukuza bidhaa katika mamlaka ya maendeleo ya mauzo ya nje ni kuhusu maonesho ya bidhaa ya kimisri katika nchi za kiafrika ambapo

Maonesho haya yanakosekana katika sekta maalum

Comments