Ujumbe wa chama cha wahandisi unatafutia kushirikiana na kampuni za ujenzi nchini Tanzania
- 2019-09-08 13:31:00
Siku ya pili ya mkutano wa kimataifa uliofanyika nichini Tanzania na ulikuwa chini ya usimamizi wa taasisi tatu za kiuhandisi za kitanzania , na uliofanyika katika kipindi cha 4 hadi 7 mnamo mwezi wa septemba , ulishuhudia mahudhurio ya ujumbe wa kimisri uliyotumiwa na chama cha uhandisi cha kimisri kwa urais wa mhandisi " Mohamed Naser " mwanachama wa baraza la juu na mkuu wa ofisi ya kiufundi katika chama , akiwakilishwa na mhandisi " Hany Dahy " jenerali mkuu wa wahandisi wamisri , pamoja na mhandisi " Ahmed Hasham " mjumbe wa kamati ya mahusiano ya nje na mambo ya kiafrika katika senjari , pamoja na mhandisi " Ahmed Basha " mwanachama wa kamati ya mahusiano ya nje na mambo ya kiafrika , akiwakilishwa na vijana wa wahandisi wa ujumbe .
Mkutano huo ulihudhuriwa na Rais wa jamhuri ya Tanzania
" JOHN POMPE MAGEPHULI " na idadi ya mawaziri na marais wa taasisi za
usajili wa wahandisi , wasanifu wa
majengo na watafiti .
kwa upande wake mhandisi " Ahmed Hisham " msaidizi
wa kamati ya mahusiano ya nje na mambo ya kiafrika alisema kwamba : chama cha
kimisri kilichochea makubiliano na kutoa mafunzo kwa wahandisi 20 wa umeme wa
tanzania wapya kwa muda wa mwezi mmoja .
akiendelea : msimamizi wa pili ni taasisi ya usajili ya kampuni za ujenzi ya
Tanzania ambayo senjari ya wahandisi ya kimisri itashiriki katika kupanga ziara
yao kuelekea Misri mnamo octoba ijayo na inajumuisha kutafuta fursa za matumizi
ya wahandisi wamisri katika kazi zao nchini Tanzania , pamoja na kushirkiana
na wahandisi wa Misri na kampuni za
ujenzi za kiuhandisi katika kazi za kuanzisha na kujenga katika Tanzania , na
msimamizi wa tatu ni taasisi ya usajili wasanifu wa majengo na watafiti
watanzania .
Hesham aliongeza kwamba ujumbe wa Misri kwa urais mhandisi
" Mohamed Naser " utawakutana na wawakilishi wa taasisi tatu , wa kwanza ni " Patric Parozi Washago
" mhandisi wa kwanza wa Tanzania
aliyehitimisha chuo kikuu cha uhandisi
cha Tanzania ili kujadiliana maudhui mengi ,muhimu zaidi ni zaira ya
wahandisi washauri 20 wa Tanzania kuelekea Misri na maafisa kumi wa taasisi za
nchi ya Tanzania ( (Bandari, viwanja vya ndege, umeme, barabara, mafuta na
gesi, na kadhalika ), pamoja na kutumbua Rais wa taasisi ya usajili wa
wahandisi wa ujenzi wa Tanzania ili kutafuta njia za ushirikiano na uwezekano
wa kusaini ya itifaki ya ushirikiano itasainiwa huko Kairo wakati wa ziara yao
nchini Misri , na kuwatumbua washirki wa ujumbe wa Misri , akiendelea : pamoja
kutambua rais wa taasisi ya usajili wa washauri wa Tanzania ili kupanga ziara
ya ujumbe wa washauri nichini Misri , na kutafuta ushirikiano na uwezekano wa
kusaini itifaki ya ushirikiano itayosainiwa huko Kairo wakati wa ziara yao ya
Kairo ili kufanya kazi pamoja kwa uzuri na heri ya wahandisi wa kiafrika na
taaluma ya uhandisi wa kiafrika na bara letu la Afrika .
Comments