Dokta Mona Mehrez Naibu wa Waziri wa Kilimo kwa Wanyama, kuku na Uvuvi alishuhudia vipindi vya kwanza vya maandalizi ya mkutano na maonyesho ya ukulima wa samaki yaliyoandaliwa na tawi la Kiafrika (African Chapter) kwa chama cha dunia ya ukulima wa samaki (World Aquaculture Society) kwa kushirikiana na Jamhuri ya Kiarabu ya Misri.
Mkutano huo utafanyika Novemba 2020 kwa kuendelea uvuvi kati
ya nchi za Kiafrika , inayozingatiwa
mkutano wa kwanza unaokusanya pamoja
wataalam na wafanyikazi katika mashamba ya maendeleo endelevu ya uvuvi kuongeza
uzalishaji,na kuziba pengo kati ya ugavi na mahitaji ya samaki, kuokoa proteni
ya wanyama na kufanya masoko kusafirisha samaki kwa Afrika.
Mkutano huo
ulihudhuriwa na Mario Steel, mmoja wa maafisa wa chama cha ukulima wa samaki
, Dokta Khaled El Sayed Mwenyekiti wa
bodi wa Mamlaka Kuu ya kuendelea uvivu , Na wajumbe wengine wa kamati za
kuandaa Mkutano huo.
Kwa upande wake, "Mehrez '' alisisitiza kuwa chaguo la
Misri kufanya mkutano huu muhimu wa
kimataifa kwa sababu ya eneo lake bora la kijiografia barani Afrika na
Mashariki ya Kati, na urais wake wa Umoja wa Afrika mwaka 2019, na pia sifa
zake za ulimwengu katika ukulima wa samaki, hasa Perege na
Buri , ambapo uzalishaji wa ukulima wa samaki barani Afrika ni milioni
tani 2.2 , Sehemu ya Misri ni milioni tani 1.5, na Mehrez ameongeza kuwa
mkutano huo utafanyika kutoka 7-10 Novemba 2020 ili kubadilishana uzoefu na
habari na nchi za kiafrika,ambayo Kuambatana na warsha ya kazi na utafiti wa
kisayansi na uliotumika katika nyanja za maendeleo ya uvuvi, na pia maonyesho
kwa kampuni zilizo maalum katika kufanya malisho na viongezeo vya samaki na
vifaa muhimu ili kuimarisha mifumo ya ukulima wa samaki, na kampuni
zinazozalisha dawa ya kupinga na matibabu ya magonjwa ya samaki.
Comments