Mohamed El Shorbagy anashinda kaka yake Marwan na kufikia fainali ya Mashindano ya Skwashi ya Uchina

 Mohamed El Shorbagy, mchezaji namba ya pili duniani Kwa vijana wa Skwashi, aliyefikia fainali wazi ya JP Morgan Uchina  , iliyofanyika huko Shanghai kutoka Septemba 4 hadi 8.

 

Mohamed El Shorbagy alishinda ndugu yake mdogo Marwan 3_1 katika  mechi yenye  dakika 64 tu , Tija zimekuja kama  ifuatavyo: 8-11, 11-5, 11-8, 11-9.

 

 Mohammed Al Shorbaji anasubiri mshindi wa  mechi ya Ali Faraj na Indian Sourav Guzal katika fainali.

 

  Michuano wazi ya Uchina China inazingatiwa mashindano ya kwanza katika msimu mpya wa 2019/2020, na pesa ya tuzo ya $ 112,000 kwa wanaume na kwa wanawake.

Comments