Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa Vijana na Michezo,leo Ijumaa asubuhi, aliongoza mbio za baiskeli zilizofanyikwa katika mji wa El-Shorouk kwa umbali wa kilomita 4 mbele ya viongozi kadhaa wa wizara na kundi la vijana, wasichana na familia wanaokaa (wanaoishi) katika mji wa El-Shorouk.
Hii inakuja ndani ya vifurushi vya mbio na sherehe za
michezo zinazotekelezwa kwa Wizara
katika mikoa yote ili kueneza utamaduni wa mazoezi ya michezo kwenye jamii na
kuhimiza mipango ya michezo itayoboresha
afya ya umma ya raia wote, hasa vijana na wasichana kupitia mazoezi ya michezo
kila siku.
Inabidi kutaja kuwa Wizara inafanya kazi katika utekelezaji
wa mbio(marathoni )kadhaa wa kutembelea , kukimbia na baiskeli na mazoea
mengine ya michezo mara kwa mara na yanaendelea katika miji mbali mbali ya
mikoa ya Jamhuri.
Comments