mpango
wa kufundisha lugha ya kiarabu kwa wana wa bara jeusi , kwa msaada wa Al-Ahram
Siku zifuatazo zitashuhudia saini ya itifaki kati ya taasisi ya Hafeza Alnawawi
na Chuo kikuu cha Cairo , hasa kitivo cha Dar Al Aluoom na Taasisi la Al-Ahram
litashiriki pia .
Abd
Al Mohsin Salama mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi atakuwa kama mdhamini rasmi wa mpango huu
ambao unalenga kufundisha lugha ya Kiarabu kwa wana wa bara ,Chini ya kauli mbiu "Africa inaongea
kiarabu" .
Na Ayman Abo Bakr mwekezaji wa taasisi ya
Hafeza Alnawawy amesisitiza kuwa mpango huu ulikuja kuthibitisha juknafasi ya
Misri ya kuongoza barani Africa , Hasa baada ya kuchukua urais wa Umoja wa
Africa . pia Ayman Abo Bakr amesema kuwa Chuo kikuu cha Cairo kinachoendeshwa
na DK Mohamed Othman Al-Khasht kitakaribisha mpango huu , na kilionyesha tamaa
ya kweli ya kushirikiana na DK Sherif Al Gabali mwenyekiti wa kamti ya
mahusiano ya Africa katika shirikisho la viwanda na wanachama wa bodi ya
wadhamini wa taasisi ya Hafeza Alnawawy . Na ameongeza kuwa hatua za awali za
mpango huo zimeshuhdia ushirikiano mkubwa
pamoja na kitivo cha Dar AlUloom kinachoongozwa na Abdel Radi Mohamed
Abdel Mohsin mshauri wa kitivo na wazo lake la mpango.
Comments