Mashindano yenye nguvu kati ya washiriki wa Oscar ya ubunifu wa kiafrika kwenye kuimba na muziki

Jukwaa la wizara ya vijana na michezo ilishuhudia mashindano madhubuti kati ya washiriki vijana kutoka nchi tofauti za kiafrika kwenye uwanja wa kuimba na muziki , kama sehemu ya Oscar ya ubunifu wa kiafrika iliyoandaliwa kwa wizara ya vijana na michezo kwa kushirikiana na tume ya umoja wa kiafrika na kuendelea hadi tarehe 10 septemba huko Kairo na Fayoum.

Nyimbo na muziki zilizotolewa zilitofautisha wakati wa maamuzi ya washiriki wa waundaji wa kiafrika ambapo Ruth kabili kutoka malawi alishindana na wimbo " in the cold " na jockie nakitendi wa uganda na wimbo " im always love you " wakati woel mohamed kutoka sudan anashindana na kipande maalum , na anashindana kutoka misri katika uwanja wa muziki ya  kibinafsi Musa Medley , mwimbaji wa Sudan Ahmed Karrar aliimba wimbo " qarbu yanam "


Na pia Esmat El - Zain kutoka Sudan anashindana na wimbo " wayne rayhaya samra " na kutoka Kenya Stifan Biko na wimbo wa kiafrika na Jokomina Khamis kutoka Sudan kusini alishindana na wimbo wa " Mungu kuilinda na kuihifadhi " na kutoka Madagaska Eric Edward akiimba wimbo " Rafo Rafo " na Sadeen Ben Monsib kutoka visiwa vya komoro na " Bella Chow " na Mohamed Abdel Salam kutoka Sudan aliimba wimbo " katikati  ya duara " wakati shawki mohya kutoka tanzania alishindana na wimbo " haya yote " na mwimbaji wa sudan mayada el tayeb akiimba " Belali " anaambatana na al dloka , hushindana kutoka Misri katika uwanja wa kuimba Mahmoud Mohamed na wimbo " Lamouni ".


Tume wa usuluhishi katika uwanja wa muziki na uimbaji katika oscar ya ubunifu wa kiafrika ni pamoja na Dk fawzi Al shami , Dk hanan abou el magd na Dokt Ezz Elddin Taha


Nchi zinazoshiriki katika Oscar ya ubunifu wa kiafrika : Sudan , Sudan Kusini , Ethipoia , Tunisia , Muritania , Tanzania , Somalia , Uganda , Jamhuri ya kongo ya  kidemkrasia , Chad , Zambia , Visiwa vya Komoro , Malawi , Nigeria , Cameron , Tugo , Kenya , Madagaska , Afrika Kusini pamoja na Misri.




Comments