Afrika ni mhimili wa hotuba ya kundi la 26 la tamasha la Kairo la michezo ya kisasa na majaribio
- 2019-09-10 14:06:57
Mwenyeketi wa
tamasha la Kairo la kimataifa la michezo ya kisasa na majaribio Dokta Sameh
Mahran amesema kuwa shughuli za kundi la 26 la tamasha zitazinduliwa mnamo siku
10 ya mwezi huu wa tisa , akiongeza kuwa msingi wa hotuba hii unajumuisha
hotuba ya kifikri kuhusu Hali ya kisasa ya michezo ya Afrika na Mostakbali yake, pamoja na maonesho ya tamthilia kutoka
nchi mbalimbali za Afrika.
Mahran ameleza
kwamba nchi 13 za kiafrika zisizo Afrika
zimetaka kushiriki katika hotuba hii kupitia maonesho 18. Inachaguliwa tano
kuandamana na hotuba.
Kwa upande wake,
mkurugenzi mtendaji wa tamasha Asmaa Yehia Altaher ameleza kuwa bara la Afrika
ni bara la kipekee kwa upande wa utamaduni na Sanaa. na umbo lake la kikabila
limefanya kila kipande kina utamaduni wake na Sanaa zake. Hii ni kwa upande wa
uhalisi wa utamaduni, ama kwa upande wa mwingizaji wa utamaduni kuwa mfululizo
wa miundo ya ukoloni umeacha athari juu yake na imekuwa mchanganyiko wa miundo
ya utamaduni ya kitaifa na kigeni.
Ameongeza kuwa
michezo ni moja ya miundo ya kifani muhimu zaidi inayosumbuliwa na kiunganisho. Afrika kabla
ya ukoloni limejua sanaa nyingi za utendaji. Mila, sherehe, kucheza , sanaa za
kibahlwani (Sarakasi) , Harusi, huzuni na Sanaa za midomo. Kwa mwisho wa miundo
hii ya utendaji inayozingatiwa kutoka
kiini cha utamaduni wa Afrika. Ama pamoja na athari za ukoloni katika mwanzo wa
karne ya 20, bara limejua sanaa za ulaya ikiwemo michezo ya magharibi. Je,
miundo hii ya kitaifa imeondolewa kwa ajili ya muundo wa drama wa kimagharibi?
Au Bara na utajiri wake wa utamaduni limeweza kutoa miundo yake ya kipekee na
kutoa athari kwa ubadilishaji katika michezo ya magharibi?
Amejibu kuwa baada
ya kuwekwa uhuru na ukoloni na
mabadiliko ya nadharia za michezo na michezo inawekwa uhuru na miundo ya zamani
(Aristi, Ukweli "Elwakeia", Brekhti). Swali la kitambulisho cha
utamaduni linajitoa kwa kuwepo au kutokuwepo. Na tangu mwisho wa hamsini za
karne ya 20, kizazi cha kitabu cha drama na wenye michezo Barani Afrika walionufaika na Sanaa za utendaji kwa
kuziweka katika umbo fulani la michezo
wananufaika na utamaduni wa michezo ya magharibi kutoa umbo fulani kwao
na isiyo mbali na michezo ya kimataifa
katika wakati huu.
Hotuba inendelea
kwa siku mbili. Na siku ya kwanza inashuhudia hotuba mbili,, ya kwanza ni kwa
anuani ya:mchezo wa Afrika ama michezo
ya Afrika? Kuhusu Hali ya kujulikana na kugawanyika. Na hotuba ya pili ni
kuhusu Upekee wa mchezo Barani Afrika
baada ya kolonyalia. Kiufundi na masuala. Na siku ya pili inashuhudia hotuba
mbili. Ya kwanza kuhusu mtazamo wa Anthoropoloji (Elimu ya kutambua na kufunza
mwanadamu) katika mchezo wa Afrika na ya
pili kwa anuani ya Ukosoaji wa Afrika
Kati ya wamagharibi na waafrika .
Sameh Mahran
amesema kuwa kundi hili litashuhudia ushiriki wa nchi 68 zimetoa maonesho179.
Ya kwanza ni India "maonesho nane" baada yake ni Algeria na Brazil
"maonesho saba kwa kila moja". Mahran ameashiria kwamba Tunisia
inazingatiwa nchi ya kiarabu zaidi
ambayo inatoa maonesho kushiriki katika kundi hili "maonesho 15".
Ameongeza
kwamba usimamizi wa tamasha umeunda
kamati tatu za kutazama. Ya kwanza ni kwa maonesho ya kigeni na ya pili kwa
maonesho ya kiarabu. Na ya tatu kwa kuchagua maonesho mawili ya Misri ili
kushiriki kwa uchache katika mashindano ya tamasha.
Comments