Shirikisho la Taekondo, lililoongozwa na Amr Selim, limeamua kushikilia Mashindano ya Dunia ya Pwani, yatakayofanyika mnamo tarehe ya 11 hadi 13 Oktoba, huko Hurghada.
Shirikisho hilo lilianzisha majaribio na
kushinda wachezaji wa timu ya pomza, kwa
ajili ya kutambua timu gani inayopangwa kushiriki katika mashindano hayo.
Majiribio hayo yalihudhuriwa na mkurugenzi wa
shirikisho na Ahmed Sultan, mwanachma wa bodi ya wakurugenzi na kaimu
mkurugenzi mtendaji, na makocha wa timu za kitaifa.
Timu ya Taekondo
ilishinda medali 11 katika michezo ya Afrika iliyofanyika Morocco,
ikagawanywa kwa medali mbili za
kidhahabu, medali nane za kifedha na medali
moja ya shaba.
Comments