Mbio za masafa marefu ya kwanza ya vijana wa Afrika huko
Aswan (mji mkuu wa vijana wa Afrika 2019) ilifanyika jana juzi Jumamosi saa 9
asubuhi, iliyohudhuriwa na Waziri wa Vijana na Michezo Dr Ashraf Sobhi. Vijana
zaidi ya 1,000 wanaowakilisha nchi 28 za Kiafrika wameshiriki katika mbio za msafa
maerfu kwa kilomita 11 kuanzia Daraja jipya la Aswan na kuishia katika klabu ya
Aswan.
Comments