Mohamed Elshorbagy anashinda lakabu la mashindano ya kimataifa ya china kwa Skwashi

 Mohamed Elshorbagy ni mchezaji wa timu ya kimataifa ya kwanza kwa Skwashi ,na bingwa wa Klabu ya Smouha alitawazwa kwa lakabu la mashindano wazi ya china  yaliyofanyawa kupitia kipindi 4 mpaka 8 katika mwezi wa septemba huu ,na jumla ya tuzo zake zinafikia dola elfu 112 .

 

Elshorbagy alishinda lakabu baadaya ushindi wake kwa rafiki yake kwa timu na bingwa wa klabu ya wadi dagla  Farag kwa  1_3 .

 

Tija za mechi zilikuja kama :11_3,11_9,5_11,11_8 katika mechi nguvu inachukua dakika 60 kutoka kucheza .

Comments