Waziri wa vijana na michezo na Gavana wa Aswan wanashuhudia mwisho wa matukio ya mkutano wa kwanza wa michezo barani Afrika uliofanyawa chini ya kauli mbio (Afrika linatukusanya (


Dokta Ashraf Sobhy ni waziri wa vijana na michezo ,Meja Jenerali Ahmed Ibrahim na Gavana wa Aswan walishuhudia mwisho wa matukio ya mkutano wa kwanza wa michezo barani Afrika uliofanyawa chini ya kauli mbio (Afrika Linatukusanya ) katika siku tano mnamo siku ya 6 mpaka 10 mwezi wa Sepetemba ,kwa ushirki wavulana na wasichana 200 kutoka nchi 26 za kiafrika .

Ulishuhudia matukio ya mwisho wa kutoa aya za sanaa za Nubain na kucheza ngoma zinazoshikilia utamaduni na urithi wa Aswan ambyo vijana wa kiafrika waliingilana .
Sobhy alisema kwamba lengo la kimsingi toka matukio haya ni kuhakiksha Ushikamano na ushirkiano kati ya wana wa bara na sio mashindano ya michezo ,akiasheria kwamba wizara inadhibiti mipango na mikakati ya kazi katika mwelekeo huu ,miongoni mwa mkutano huu uliotanguliwa sherhe ya jukwaa katika mkutano wa Oscar kwa ubunifu kwa kiafrika uliojumisha ubunifu wengi kwa vijana wa kiafrika , unaoshikilia kundi kuhusu kufungua njia mpya kwa maendeleo barani mwa Afrika chini ya kuvulia kuelekea Misri kwa Afrika ,akieleza kuhusu karibu yake kwa jumbu za kiafrika _kivijana unaoshirki katika mkutano .

Kwa upande wake ,Meja jenerali Ahmed Ibrahim alisistiza kwamba Afrika ni tajiri katika rasimali za kiuchumi na nguvu za kibandamu ambyo inaikarbiti kwa sababu ya kuwa katika mbele ikiwa imetumiwa vizuri ,akisheria kwa Aswan inadhibti kama matokeo haya na shughuli za vijana na michezo zinazopangwa kwa wizara juu ya pembe za Nile inayotusanya kwa mfereji wake katika kiwango na hatima moja aradhini Aswan inayotusanya katika mkutano wa kimisri _kiafrika kwa vipengele vyake vya kiafrika _kijiografia _kihistoria kwa kuzingatia ni daraja la mawasiliano kwa Afrika kupitia enzi na mji wa vijana wa kiafrika ,akiasheria kwa urais wa Misri kwa umoja wa kiafrika mwaka wa 2019 ulioshuhudia ufunguzi wa mkutano wa 32 .
Gavana wa Aswan alieleza kwa kufanya mkutano huu na shughuli nyingi juu ya aradhi ya Aswan inazingatia faida ya juhudi kupitia kipindi kilichopita kubadilisha maagizo ya Rais El_sisi katika mkutano wa vijana kwa ukweli kwamba Aswan inakuwa mji wa vijana kwa uchumi na utamaduni wa kiafrika kwa kufanya kazi juu ya daraja za karibu kati ya vijana wa kimisri na kiafrika ,akisistiza kwamba (hii inahitajika vijana wa kiafrika kwa kuamsha shughuli, kurejea roho ya changamoto, maendeleo ya kazi ,Bidii na ubunifu pamoja na kumalizika ukosefu wa kazi ,uvivu ,machafuko ,msimamo mkali na nguvu ,pamoja na kuongeza mawazo ya umoja kati ya watu wa kiafrika kwa kweli yanafanyawa juu ya maslaha kupitia kuunda nafasi za kawaida za mshabaha za mawasiliano ya vijana iliongeza juu ya mipaka ya kijiografia na kisiasa .
Rais Abd El fattah El sisi alianza mkutano wa Aswan kwa amini na maendeleo endelvu ulikuwa mkutano wa kidunia kwa vijana na jukwaa la kikanda na bara pia inaonesha mahusiano kati ya Misri na ndugu yake ya Afrika vijana ,michezo ,utamaduni na sanaa chini ya mtazama mpya na msingi wake ni ushirkiano na ujumushaji kwa ajili ya maslaha ya watu na kupampana changamoto na matatizo .
Gavana alipendekza (njia ya kujenga ambyo wizara wa vijana na michezo inaimrisha kwa kufanya ukweli bora kwa vijana vyetu kwa mawazo yenye nguvu ,uwezo na ujuzi bora na maoni yake ni madogo kwa masuala yaliyoibuka tofauti ikiwa majadiliano yenye maana ya kujenga .


Comments