Dokta " Tarek Elgamal "mkuu wa chuo kikuu cha Asyut alisisitiza kwa kujali chuo kikuu kwa upanuzi wa kisayansi na kuimarisha mahusiano na nchi mbalimbali za ulimwengu hasa ndugu wa bara la Afrika na hivyo katika nyanja zote na zinazotanguliwa nyanja zinazohusiana na huduma za elimu na utafiti wa kisayansi na alisema hili linakuja kwa kuzingatiwa miongozo ya rais " Abd alfatah el sisi " inayoita kwa kuimarisha mahusiano kati ya Misri na nchi za Afrika hasa baada ya kuchukua Misri urais wa umoja wa kiafrika na kuongeza jukumu Lake la urasimali na uongozi kwenye eneo . Akifafanua kuwa hilo limepelekea kuweka mipango na njia kadhaa ambazo kutokana na hizo kuongeza mahusiano kati ya pande mbili za kimisri na kiafrika na ambazo zinakusanya kuongeza idaadi ya udhamini zinazowapa kwa wanafunzi waafrika katika nyanja zote.
" Elgamal " alifafanua kuwa chuo
kikuu kimetoa wakati wa
mwaka wa masomo
ya kitivo 2019/ 2020
idadi ya udhamini kwa
watafiti wa kiafrika
katika mwaka wa
mafunzo ya uhitimu
kama ni Uzamili Au Uzamivu na
zinazofika idadi yake
283 kwenye vitivo.
Dokta " Ahmed
Elmanshawy " naibu wa Mkuu wa
chuo kikuu kwa
mambo ya mafunzo
ya uhitimu na
utafiti aliongeza kuwa
chuo Kikuu anafanya
juu chini daima
ili kuongeza idadi
ya udhamini zinazotolewa
kila mwaka kwa
wana wetu kutoka
wanafunzi waafrika na
utofauti wa mada
zake pamoja na
kutoa Msaada kamili kwao
tangu mwanzo wa
masomo hadi mwisho
wale ambapo usomi
hizo zinazingatiwa kuwa
mojawapo ya vipengele
vikuu ili kuvuta
wanafuzi wageni wa Afrika
kwa kusoma kwenye
chuo Kikuu cha
Asyut .
"El manshawy
" aliongeza kusema kuwa
udhamini zinazotolewa kwa chuo
Kikuu kwa wanafunzi
wa bara la
Afrika zilikuwa zina
Athari kubwa kwa
kupanua idadi ya
waafrika wanaofaidikwa
kutoka udhamini za
elimu na za
utafiti zinazotolewa kwa
chuo Kikuu kwao
kwenye vitivo vya
utendaji na kinadharia
ambapo kufikia idadi ya
udhamini zinazotolewa kwa
wanafunzi wa kitivo
cha sheria udhamini 50 ,
kitivo cha uhandisi 35 , kitivo
cha tiba ya
mifungo 32 , kitivo cha
uuguzi 32 , kitivo cha
mazoezi ya kimwili 26 ,
kitivo cha tiba
25 , kitivo cha
uangalifu wa watoto
20 , chuo cha kisukari
15, kitivo cha
dawa 11 ,
cha kisanaa 10, cha
kompyuta na maelezo
10 , cha sayansi 9 , cha elimu
3 , cha
elimu maalumu 3 na
kitivo cha hudhuma
ya kijamii 2 .
Comments