Mkuu wa mkoa wa bahari nyekundu anatangaza kufanyika sherehe ya mchezaji bora barani Afrika katikati ya bahari

Ahmed Abdellah mkuu wa mkoa wa bahari nyekundu alieleza kwamba sherehe ya mchezaji bora barani Afrika 2019/2020 itakuwa nzuri sana,  itafanyika katikati ya bahari na itakuwa kupendeza hasa kuna mamillioni ya watu wanaotazama sherehe hii.

 

Sherehe hii inahudhuriwa na Ahmed Ahmed Rais wa shirikisho la kiafrika kwa Soka,  Fatma Somaro msaidizi wa  mkuu wa CAF,  mfanyabiashara mmisri Kamel Abo Ali,  Amr El Ganayni mkuu wa kamati ya Elkhomasia  anayefanya kazi za rais wa shirikisho la kiafrika kwa soka ,  Mahmoud El Khadib maneja wa klabu ya Ahli na mkuu wa mkoa wa bahari nyekundu Ahmed Abdallah

Ahmed Ahmed mkuu wa KAF na  mfanyabiashara Kamel Abo  Ali walisaini  mkataba  wa kupokea sherehe ya KAF huko Hurgada katika mahali pamoja  panapomilikiwa naye katika  Sahl Hasheesh  wakati wa mwezi wa januari ujao 

.

Comments