Taasisi ya Uongozi wa kiafrika kwa vijana " Pan African Youth Leadership Foundation" ilimchagua mtu mmisri Hassan Ghazaly " Mwanzishi Mkuu wa Ofisi ya vijana wa kiafrika kwenye Wizara ya vijana, na Mwakilishi wa Rais wa Umoja wa kiafrika' miongoni mwa zaidi ya vijana 30 wenye Athari kubwa zaidi barani Ulaya na Afrika kwa mwaka wa 2019 kulingana na Mafanikio yaliyohakikishwa naye kama kijana kiongozi katika uwanja wa shughuli za vijana waafrika pamoja na Ngazi za kienyeji kitaifa, kikanda, na kibara.
na Mwaliko mmoja ulitolewa kwa ' Ghazali' ili kupokea Heshima na kuhudhuria Kilele cha Afro- Ulaya kwa Vijana , kitakachofanyika kwa mara ya kwanza kwa tarehe ya 28 , mwezi wa Septemba huu katika mji mkuu wa Gambia " Bangol" kwa mahudhurio ya Bibi wa kwanza Fatumatu Bah Power, na Balozi wa Umoja wa kiulaya nchini Gambia Atila Lagos.
na Kilele cha kwanza cha Afro Ulaya kwa vijana kinatokea chini ya kauli mbio ya " Wao si wadogo kwa Uongozi" kitakachokusanya wakilishi wa taasisi za vijana , wawekezaji, na majumuyia ya vijana toka mabara mawili kwa lengo la kuunganisha na kupanuza Ushirikiano.
Comments