ni moja ya mataifa ya Afrika ya magharibi. Mipaka yake ya
upande wa magharibi ni bahari ya Atlantiki, ya upande wa kaskazini ni nchi za
Angola na Zambia,ya upande wa mashariki ni nchi ya Butsuana na ya upande wa
kusini na mashariki ni nchi ya Afrika kusini. Ingawa Nambia haina mipaka na
zimbabwi lakini zinakaribiana sana ambapo mto huupenyeza upeo wakijiografia
baina yao.
Mfumo wa utawala :mfumo wa kijamhuria
Fedha :Randa - Dola.Jiji:Wendhook.
Rais :Hakah Kenkob. Waziri mkuu :Sara Koghongeloa Amadhela.
Bara :Afrika.
Idadi ya watu :inakaribia 2,10Milioni.
Kupata uhuru :imepata uhuru kwa muda mnamo 1985,kisha kupata
uhuru kikamilifu ilipotenganishw na Afrika Kusini mnamo 1990.
Uti wa mgongo wa uchumi :utalii, ufugaji na viwanda vya
maadini.
Timu ya Taifa ya Namibia inazingatiwa moja ya timu za kundi
la 4 zitakazoshirikia michuano ijayo ya ubingwa wa Afrika (CAF2019)
utakaofanyika hapa Misri mwaka huu. Timu ya Namibia haijawahi kufikia mashindano
ya kombe la dunia.
Mavazi ya rasmi ya timu :nyekundu / nyeupe.
Lakabu ya Timu :Mapiganaji jasiri.
Nafasi yake kwenye orodha ya Fifa :110ِ
Wachezaji wa soka ya taifa la Jamhuria ya Namibia ni :
Golikipa |
Apisia Shinningayamwe Ephraim Tejihong |
Beki |
19 Colin Benjamin Denis Titinda Denzel House Franklin April Jeremiah Baisako Hartmann Torumba Gottlieb Nakuta Malaji Ngarizimo Michael Bennar Richard Garisib |
Kiungo |
Abraham Chatemoen Brian Brindell Costa Caycep Dion Hutu Kavenge Hendrick Somayeb Jammunovando Ngatzeziko Paulos Chibanga Peter Schwallley Quinton Jacobs Oliver Reiser Sydney Platies Tulongeni Tuyeni Willie Stephanos |
Washambuliaji |
Benson Shilongo Heinrich Isaacks Henrico Butis Lazarus Kaimbi Mona Katobuz Rudolf Bister |
Comments