Waziri wa mambo ya nje ya Kenya : nimejadili maendeleo barani Afrika na masuala ya Amani na Usalama pamoja na Sameh Shokry

 Waziri wa mambo ya nje ya Kenya , Monica jumma amesema kuwa amempa Sameh Shokry barua kutoka rais wa Kenya kwa rais Abd Alfatah Elsisi kama rais wa umoja wa Kiafrika.

 

Hii imekuja wakati wa mkutano wa pamoja wa vyombo vya habari pamoja na Waziri wa mambo ya nje ya Misri Sameh Shokry, siku ya Jumapili.

 

Akiongeza kwamba majadiliano yamejumuusha masuala ya amani na usalama barani Afrika na mahusiano kati ya nchi mbili hizo na jinsi ya kuziimarisha.

 

Akiashiria kuwa mazungumzo juu ya matarajio yanayohusu maendeleo barani Afrika yanahakikisha masilahi ya pande mbili hizo.

Comments