Mohamed Kesho mchezaji wa mweleka anafikia kirasmi kwa mashindano ya olimpiki ya Tokyo 2020
- 2019-09-16 14:28:38
Mohamed Ibrahim Kesho , mchezaji wa timu ya kimisri wa mweleka , kwa olimpiki ya Tokyo 2020 , baada amefikia mashindano ya nusu fainali ya michuano ya ulimwengu iliyofanyika huko Kazakhastan na huendelea hadi 18 mwezi huo .
Mohemed alipata kadi ya olimpiki baada
alimshinda mchezaji wa Georgia katika mechi ya kwanza , kisha wa Armenia , na
katika robo fainali alimshinda mchezaji wa Poland , na katika nusu fainali za mashindano
atakutana na mchezaji wa kopa .
Kwa upande
wake Esaam Elnwar , rais wa shirikisho la mweleka , alisisitiza kwamba watu
wanaokuwa na nafasi sita za kwanza
hufikia olimpiki , na kwa hiyo Kesho ana dhamana ya kustahili bila ya
kuona matokeo ya mechi nyingine zinazofuata katika ubingwa , haswa kama
akishindwa na mchezaji wa Kopa katika mechi ifuatayo atapata nafasi ya nne .
Elnwar
aliongeza kwamba kesho ni mchezaji mojawapo ya wachezaji wa kwanza wa timu ya mweleka wanaofanikiwa
kufikia olimpiki ya Tokyo na mojawapo ya wachezaji wanaotarajiwa kupata medali
ya kiolimpiki .
Washiriki wa
orodha ya ubingwa wa ulimwengu ni : Khaled Fazaa , Samy Amin , Amr Reda ,
kapteni Farag Abdel Razak , kwa kiwango
cha wasichana Samar Hamza atashiriki ,
na kwa Kirumi Haithem Fahmy , Mohemed Ibrahim Kesho , Abdellatif Monee , Hasan
Hasan na kapteni Hossam Mostafa .
Comments