Kesho, mkutano wa viongozi wa vijana wa Afrika huanza katika Chuo Kikuu cha Fayoum
- 2019-04-15 15:40:09
DkT. Adly Saadawi, Mkurugenzi wa Taasisi ya Tafiti na Mafunzo ya kimikakati wa Nchi za Bonde la Nile huko Chuo Kikuu cha Fayoum na Katibu wa Mkutano wa Uongozi wa Vijana wa Afrika katika Chuo Kikuu cha Fayoum, alitangaza leo Jumatatu ajenda na jedwali ya mkutano utakaofanyika kipindi cha 16 hadi 18 Aprili, 2019 .Ambapo vijana waafrika 200 watashiriki.
Kikao cha Kwanza: Vyombo vya Habari, Usalama wa Taifa na Maendeleo Endelevu, ambapo Kikao hicho kitaongozwa na DkT. Sayyid Fleifel na DkT. Islam Abou El Magd atatoa maoni yake kuhusu kikao hicho . kitakusanya muhadhara ya "Uhusiano kati ya vyombo vya habari, hisia za umma na usalama wa taifa", ambapo Itatolewa na Dkt. Sami Abdelaziz, profesa wa vyombo vya habari katika Chuo Kikuu cha Kairo, na muhadhara ya pili ni "Maendeleo Endelevu barani Afrika" itatolewa na Dkt. Sally Farid ni Profesa wa Uchumi .
Ama jedwali ya shughuli za siku ya pili ya mkutano inakusanya:
Kikao cha kwanza : vijana na mwanamke mashindano ya kimataifa juu ya bara na kitaongozwa na DKt Adly Saadawi na atakayetoa maoni kuhusu kikao hicho ni DKt Asem Al-isawi, kikao kinakusanya muhadhara ya "Nafasi ya vijana na mwanamke katika kukua na maendeleo ya kiuchumi " itakayotolewa na DKt Marwa Mamdoh Salem mtafiti wa mambo ya kiafrika . Na muhadhara mwenigine kwa anwani "Mashindano ya kimataifa juu ya bara na matokeo yake" I itakayotolewa na DKt Ayman Shabana profesa na mtafiti kataika sayansi za kisiasa.
Kikao cha pili : Anwani yake ni " Amani na
Usalama – Ukamilifu wa kiuchumi na Biashara barani Afrika" kitaongozwa na
Dkt Hosam Abu Al-huda na DKt Mahmoud Ali Abd al-fattah , na kinakusanya muhadhara kwa anwani " Amani na Usalama
Barani Afrika" itakayotolewa na Jenerali Mohammad Abd Alwahed mbobezi
katika amani ya kitaifa na mambo ya
kiafrika .
Muhadhara ya pili kwa anwani "Ukamilifu wa kiuchumi na biashara barani Afrika" itakayotolewa na
DKt Nahla Abu Aliz profesa wa uchumi.
Comments