Misri inashirikiana na nchi nane katika kongamano la Jukwaa la Afrika la Utamaduni wa Amani nchini Angola
- 2019-09-18 11:29:34
Ya ufunguzi wa kongamano la Jukwaa la afrika la Utamaduni wa
Amani katika Lawanda mji mkuu wa Angola
kwa kuzingatia Misri ni mkuu wa sasa wa umoja wa kimisri na hivyo ni
katika kipindi cha 18 hata 22 mwezi wa Septemba ,
Wakiongozana na wote wawili :Khaled Hassan balozi wa Misri
nchini Angola na dokta Rasha rRagheb Mkurugenzi wa Chuo cha kitaifa cha Mafunzo
na inayofanika kwa kuhudhuria kwa Wakuu wanane wa Nchi na Serikali
wanaowakilisha maeneo manne ya afrika na idadi kadhaa za tabia za ulimwengu
kama Gwao Ghonasalfis Lorinao rais wa jamhuri ya Angola (nchi inayokaribisha )
, Ibrahim Bo Baker Kita raia wa jamhuri ya mali (bingwa wa umoja wa kiafrika
kwa Utamaduni ) , Denis Saso Ngiso raia wa jamhuri ya kongo , Hag Ghotfrid
Gingob raia wa jamhuri ya Namibia ,Filks Tshesikedy raia wa jamhuri ya
kidemokrasia wa kongo , wawakilishi wa nchi ya Cape Verde , Ethiopia , Tanzania
pamoja na Odry Ozly meneja mkuu wa UNESCO , Syrjeo Lothar Riskofa Gavana wa
Mkoa wa Luanda, Maria Bidad De Gesos waziri wa Utamaduni wa Angola , Denes
Mokoyegh alipata tuzo la Nobel kwa Amani mwaka 2018 na Mosa Feky Mohammed
mwenyeketi wa Tume ya umoja wa kiafrika
Na inayoamuliwa kwamba kufanyika kwa Mkutano kwa
Timu ya kiwango cha juu
na kupitia kwake wakuu wa nchi na serikali wanajadili masuala mbalimbali
wa sasa ili kushiriki uzoefu katika usaidizi na kuendeleza kwa mahusiano na
kusoma miradi ya maendeleo ya bara na kutatua migogoro
Comments