Barua kwa rais Abd Al-fatah El-sisi kutoka mwenzake wa Kenya, anaipokea Waziri wa mambo ya nje ya Kimisri
- 2019-09-19 20:22:56
Waziri wa mambo ya nje (Sameh Shokry), siku ya Jumapili 15/9/2019 ameipokea barua kwa rais Abd Alfatah Elsisi kutoka rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kuhusu masuala ya pamoja na uratibu kati ya nchi mbili hizo ili kuhakikisha utulivu Mashariki mwa Afrika, na masuala ya amani na usalama barani Afrika pamoja na kuhimiza biashara kwenye ngazi ya nchi mbili na bara la Afrika.
Waziri wa mambo ya nje alielezea hivyo wakati wa mkutano wa pamoja wa vyombo vya
habari pamoja na mwenzake wa Kenya (Monica jumma) uliofanyika siku ya Jumapili
15/9 /2019 mwishoni mwa mkutano wa majadiliano uliofanyika katika makao makuu
ya wizara ya mambo ya nje.
Waziri Sameh Shokry ameeleza furaha yake kwa mwenzake wa
Kenya katika ziara yake ya kisasa nchini Misri.. Akisifu mahusiano yanayounga
kati ya marais wa Abd Alfatah Elsisi na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, na
uratibu wa kisiasa kati yao ili kuhakikisha utulivu barani Afrika.
Na amesema kuwa mkutano wa majadiliano unajumuisha mahusiano
ya pande mbili na njia za kuyaimarisha katika sekta zote, pamoja na kueleza kwa
masuala ya kikanda na Kiafrika yenye kujali kwa pamoja.
Waziri wa mambo ya nje Sameh Shokry wakati wa mkutano wa
vyombo vya habari pamoja na mwenzake wa Kenya ameashiria urafiki unaounga rais
Abd Alfatah Elsisi na rais wa Kenya Auhuru Kenyatta na kujali kwao kwa kazi juu
ya kugundua kwa sekta za ushirikiano na kutoa mahusiano na kuhakikisha utulivu
Mashariki mwa Afrika.
Wakati wa mkutano wa pamoja wa vyombo vya habari pamoja na
Waziri wa mambo ya nje ya Kenya ameongeza kuwa majadiliano na mwenzake wa Kenya
yanajumuisha kampeni ya uteuzi wa Kenya kwa uanachama usio wa kudumu kwa baraza
la usalama, pia uandaaji wa kufanyika kamati ya pamoja kabla ya mwisho wa mwaka
huu, na umuhimu wa uratibu ili kuanza miradi ya mikataba na inatarajiwa kamati
ya pamoja inatangaza matokeo yanayofaidika nchi mbili hizo.
Na amesema kuwa tunatarajia ziara ijayo itakuwa kwa rais
Kenyatta nchini Misri itakayopangwa kulingana na ahadi za marais, akiashiria
kuwa atakutana pamoja na mwenzake wa Kenya hivi karibuni pembezoni mwa mikutano
ya jumuiya ya umma ya umoja wa mataifa mnamo mwezi huu wa Septemba.
Kwa upande wake, Waziri wa mambo ya nje ya Kenya amesema
kwamba Misri ni mojawapo ya maeneo yake ya kupenda, akisisitizia nguvu ya
uhusiano unaounga rais Abd Alfatah Elsisi na mwenzake rais wa Kenya.
Ameashiria kuwa ameipa barua kutoka rais wa Kenyatta kwa
rais Abd Alfatah Elsisi.. Akieleza kuwa Misri na Kenya zina haja ya pamoja
katika kuunga mkono kwa mahusiano na maendeleo katika nchi mbili hizo,
akisisitiza kuendelea kwa kazi ya pamoja kwa ajili ya kuhakikisha maendeleo,
masilahi za pamoja, usalama na utulivu kwa Afrika na utu.
Ameongeza kusema kuwa mkutano wa siku hiyo umekuwa fursa ya
ushauri, na itafanyika mkutano mwingine pembezoni mwa mikutano ya umoja wa
mataifa, akiashiria kuwa nchi yake itaanza mpango kesho, Jumatatu kutoka Addis
Ababa ili kupatia msaada wa Kiafrika kwa ajili ya kuchagua kwake kwa uanachama
wa Baraza la usalama..
Akielezea kuwa Misri inazingatia mwenyekiti wa kisasa kwa
umoja wa Afrika, na uongozi wa rais Abd Alfatah Elsisi kwa umoja, ni muhimu
sana kufanya ushauri ili kupatia msaada wa Misri kwa ajili ya kuchagua kwake na
ili kufikia msimamo wa udhibiti kutoka mataifa ya Afrika ili kuchagua Kenya,
akielezea matarajio ya nchi yake ili kuunga mkono kwa Misri.
Waziri wa mambo ya nje ya Kenya, wakati wa mkutano wa vyombo
vya habari amesema kuwa mkutano wa siku hiyo umejumuisha kutoa misaada kwa
ajenda ya Afrika ya usalama na amani, na kuhakikisha maendeleo ya pamoja, na
ushiriki wa rasilimali kwa ajili ya masilahi ya wote, akieleza kuwa anatarajia
kwa majadiliano yatakayofanywa katika mfumo wa Kamati ya pamoja kati ya nchi
mbili hizo kabla ya mwisho wa mwaka huu, na pia ziara ijayo ya rais wa Kenya
Uhuru Kenyatta nchini Misri.
Waziri wa mambo ya nje ya Kimisri Sameh Shokry katika majibu
yake kwa swali linalohusu mabadiliko ya mahusiano kati ya Misri na Kenya kulingana
na ziara ya rais Elsisi kwa Kenya amesisitiza kuwa kuna utashi mkali wa kisiasa
kwenye ngazi ya uongozi za nchi mbili hizo ili kutoa misaada kwa uhusiano huo
juu ya misingi ya uthabiti kutoka uhusiano mkali wa kisiasa unaounga kati ya
nchi mbili hizo kupitia miongo iliyopita.
Ameashiria usawa wa mawazo kuhusu masuala mengi, ama
yanayohusiana na bara la Afrika au yanayohusiana na ngazi ya kimataifa na
kuunga mkono kwa pamoja barani Afrika na duniani, akionyesha uwepo wa nyanja za
ushirikiano katika sekta ya uchumi, uwekezaji wa pamoja, kupanua kwa biashara
na kugundua kwa nyanja nyingi, hata faida inayorejea kwenye nchi mbili hizo, na
utekelezaji wa mipango mikuu inayohusiana na bara ( ajenda 2063) na ushirikiano
wa Kiafrika, pia kutumia mifumo iliyopo katika Afrika na nchi mbili.
Waziri wa mambo ya nje wakati wa mkutano wa pamoja wa vyombo
vya habari pamoja na mwenzake wa Kenya ameeleza kuwa amefanya itifaki na Waziri
wa mambo ya nje ya Kenya kwenye kuimarisha mifumo hiyo na uandaaji wa mifumo
zaidi, juu ya ngazi ya kisiasa au kiuchumi ili kukabiliana na matatizo yaliyopo
kwenye ngazi ya Mashariki ya Afrika na kuimarisha kwa utulivu na usalama katika
eneo hilo, na pia kushinikiza kwa juhudi za maendeleo ya nchi mbili hizo.
Pia amesema kuwa utashi wa kazi ya bidii na maandalizi
mazuri na kufanyika kwa kamati ya pamoja na ziara ya rais wa Kenya nchini
Misri, kila hii itazidi nguvu ya kushinikiza kwa uhusiano na masilahi ya pamoja
ya nchi mbili hizo.
Kwa upande wake.. Waziri wa mambo ya nje ya Kenya amesema
kwamba (Nairobi) inafanya juhudi ili kuimarisha ushirikiano huo kupitia huvuta
uwekezaji na utekelezaji wa maagizo ya marais, akiashiria kuwa nyanja za
ushirikiano ni nyingi, hasa katika sekta ya uchumi, miundombinu, njia, nishati,
nishati mbadala, huduma za afya na kuweza kuendelea katika kuunga mkono kwa
nyanja nyingi za ushirikiano, akiashiria haja ya utekelezaji wa miradi na
mipango, ambapo itafanya hiyo wakati wa mikutano ya kamati ya pamoja kati ya
nchi mbili hizo.
Na kuhusu masuala ya kuanzishwa mabwawa kwa Ethiopia juu ya
mto (Oromo) na athari hizo mbaya juu ya ziwa la Torkana Mashariki mwa Kenya..
Waziri wa mambo ya nje ya Kenya amesema kwamba ziwa la
torkana nchini Kenya kutoka upande wa kijografia ni nyeti zaidi na udhaifu na
linaathiriwa na mabadiliko ya hali ya hewa, jambo ambalo linaathiri kwenye mto
wa oromo, akiongeza kwamba katika mfumo huo Kenya imefanya mkutano na Ethiopia
ili kutathmini kiwango cha uharibifu na kukidhibiti.
Ameashiria kuwa uwepo wa makundi ya kiufundi yanafanya chini
ya uongozi wa (UNISCO) na katika mfumo wa msingi wa rasilimali zinazopita
mipaka inafanywa ushauri wa pamoja kuhusu zake.. Akiashiria kuwa nchi yake
katika itaendelea katika njia hiyo kwani itakuwa yenye athari kubwa isipokuwa
kukabili kwa mabadiliko hayo na hiyo ni kwa sababu ya mbadiliko ya kijiografia.
Amesisitiza kuwa ziwa la (Torkana) ni ziwa kubwa zaidi
duniani, na ni lazima lihifadhiwe.
Comments