Shirikisho la soka lilipokea taarifa kutoka shirikisho la
soka la kimataifa " FIFA " inajumuisha baadhi ya hatua mpya za
kutumia teknolojia ya vedio kwenye ligi la kimisri jipya , ambapo Shirikisho la
soka la kimataifa lilisema kwamba lazima shirikisho la soka lifanye mkutano na
kampuni mbili zinazotofautiana ili kutumia teknolojia hiyo na kupendeza
mapinduzi mawili mbele ya baraza la shirikisho la soka la kimataifa IFAB , hata
shirikisho la soka la kimataifa lichague
linalofaa zaidi na shirikisho hilo litakubaliana na kampuni inayochaguliwa na
baraza .
Shirikisho la soka la kimataifa lilisema lazima vikao vya
mafunzo vya kutumia teknolojia ya vedio huhudhuriwa na kapteni 40 wamisri , na kuhudhuria vikao hivyo kwa idadi maalum
za masaa kupitia mwezi na nusu kwa mfululizo .
Shirikisho la soka linataka kutumia teknolojia ya vedio
kuanzia raundi ya pili ya ligi jipya 2019_2020 , hata Misri ikuwe nchi ya
kwanza ya kiafrika kutumia teknolojia
hiyo pamoja na kusaidia kumalizika makosa ya kapteni .
Gamal El Ghandor kapteni ya kimataifa ya zamani alikuwa rais
wa kamati ya hukumu baada ya uteuzi wake kwa kamati ya watano inayoongoza yote
kwa urais wa Amr El Ganayni na naibu wake Gamal Mohemed Ali na ushirika wa Ahmed
Abdellah na Mohemed Fadl na Sahar Abdel Hak .
Comments