Timu ya wasichana wa mpira wa mikono ya Misri ilishinda mwenzake Guinea kwa matokeo 33-26 katika mechi ya pili ya mashindano ya kiafrika iliyofanyika huko Niger.
Timu ya Misri
ilikutana na timu ya Niger mwanzoni wa
njia yakr ya na ilishinda kwa matokeo 43/8 jana Jumanne , kabla ya kupata mapumziko
Alhamisi, na itakutana na Algeria Ijumaa na Jamhuri ya Kongo ya Kidemokrasia Jumamosi
, kisha kuikabili Angola Jumapili na
mwoshoni itacheza pamoja na Tunisia , siku ya 24.
Ujumbe wa timu ya vijana wazaliwa mwaka 2002 ulijumisha : Rami Abdel Latif Mkurugenzi wa Ufundi, Walid
Abou El Att kocha kuu, Khaled Othman Kocha wa Kipa, Iman Morgan Mkurugenzi
Mtendaji , Mohamed Soliman Mchambuzi wa Ufundi, Zeinab Basha mtaalam wa tiba ya
maungo .
Na Wachezaji : Mariam Osama - Amina Hisham - Mariam Omar -
Sarah Yasser - Sarah Yehia - Rahma Mohamed Abdel Salam - Noha Ayman - Nora
Mahmoud - Rowan Said - Yasmin Najmi - Salma Yasser - Hana Lashin - Jana Salah -
Shahd Hossam - Mennat Allah Sayed - Yasmin
Gamal.
Comments