Waziri wa vijana na michezo anakutana bingawa wa kimisri Hania Moro

 Dokta Ashraf Sobhy ni waziri wa vijana na michezo alikutana asbuhui ya  leo ,kwa mchezaji wa kimisri Hania Moro bingawa wa Misri na Afrika katika kuoga ,kwa hivyo kuhudhuria mhandisi Yasar Edres 'mwenyekiti mmisri kwa kuoga ,Meja Jeneral Mohamed Noor Salm ni mkurugunzi wa utendaji kwa baraza la kitaifa kwa michezo ,Huda Eyob ni mwenyekiti wa idara ya kati kwa uwekezaji wa michezo ,Mohamed Elkordy ni msaadizi wa waziri wa vijana na michezo .

 

Kupitia mkutano waziri alisikia kwa mihtaji ya bingawa wa Misri ,aliyekubali kwa majibu ya haraka kutoka waziri wa vijana na michezo ,kiasi kwamba alisistiza kuwa Hania Moro anastahili misaada yote  na heshima kama kila mchezaji na mabingawa wa Misri wa michezo katika michezo tofauti .

 

Dokta Ashraf Sobhy aliongeza kwamba wizara itatosheleza misaada na makini ya kamili kwa uratibu na timu ya misri kwa kuoga ,kwa ajili ya maandalizi mazuri kwa bingawa wa misri ili kuandaa kwa olimpiki ya Tokyo 2020 .

 

Mwogeleaji mmisri Hania Moro ametawazwa kwa medali za dhahabu 4 kupitia kikao cha michezo ya kiafrika ambacho kilifanyawa nchini Morocco katika mwezi wa Agosti iliyopita ,katika mbio mita 1500 ,mita 200 ,mita 400 ,mita 800 ,haikuwa ni mara ya kwanza ambya bingawa wa misri anainua bendari ya nchi yake juu ya majukwaa ya kutawaza kwa kiafrika_kidunia .

Comments