Shawki Gharib na Abd-ELAziz wanawakilisha timu ya Olimpiki kwenye Kura ya Kombe la Mataifa ya Afrika

Kocha wa timu ya Olimpiki Shawki Gharib na Meneja wa timu ya Marasem  Alaa Abd-El Aziz wanahudhuria Kura ya michuano ya  Kombe la mataifa ya chini ya miaka 23 itakayofikia Olimpiki ya Tokyo 2020, itakayopigwa katika uwanja wa Aleskandaria mnamo 3 Oktoba, saa kumi na moja  jioni.

Mashindano ya Afrika ya chini ya 23 yaliyoshikiliwa na Misiri, Timu nane zinashiriki na zlifikia : Misiri (nchi mwenyeji), Cameron, Ghana, Afrika Kusini, Zambia, Cote d’Ivoire, Nijeria (Mwenye lakabu ) na Mali, mashindano hayo yatafanyika katika kipindi cha kuanzia Novemba 8 hadi 22 ijayo: Uwanja wa Kairo na Uwanja wa Al-Salam kwenye vikundi viwili, kila kimoja kinakusanya timu nne na wenye vyeo vya  tatu vya juu watafikia  Olimpiki ya Tokya 2020.

Na Shawky Gharib anataka kucheza mechi mbili kwenye uwanja wa Kairo , unaokaribisha mechi za mafarao katika michuano ili wachezaji waweze kuzoea sakafu ya uwanja mpya baada ya kuboresha kwake.


Timu ya Olimpiki ilikuwa imekutana na Saudi Arabia mara mbili za urafiki na ya kwanza  ilimalizika kwa ushindi  wa “Mafarao” 4-1 huko Suez, Kabla ya kurudisha  ushindi kwa mara ya pili kwa bao 1-0 katika “Petrosport”. 

Comments