ni moja ya nchi za Afrika magharibi na moja ya mataifa madogo
ya Kiafrika. mipaka yake ya upande wa kaskazini ni nchi ya Sengal, ya upande wa
kusini na wa mashariki ni nchi ya Guniea na ya upande wa magharibi ni bahari ya
Atlantiki. Jina lake la zamani, wakati wa ukoloni wa kiureno, ilikuwa Guniea ya
kiureno lakini baada ya kupata uhuru mnamo nusu ya pili ya karne iliyopita ,
jina la jiji la Bissau limeongezwa juu ya jina la nchi ile ili kuepuka utata
baina yake na nchi jirani yake Guniea.
Mfumo wa utawala :mfumo wakijamhuri wakifedrali.
Fedha :Frank.
Lugha rasmi :Kireno.
Uti wa mgongo wa uchumi :kilimo na kuchimba magodi.
Timu ya Taifa ya Guniea Bissau:
inahesabika moja kati ya Timu
za mataifa zitakazoshirikia michuano ya ubingwa wa Afrika 2019 utakaofanyika
hapa Misri. Guniea imepata fursa hiyo baada ya kuishinda timu ya Taifa ya
Zambia kwa magoli 2/1 . hiyo inahesabika fursa ya pili katika historia ya Timu
ya Guniea Bissau kwa kushirikia michuano ya ubingwa wa Afrika baada ya
kushiriki kwake kwa mara ya kwanza kwenye michuano iliyopita Gaboon 2017.
Lakabu ya Timu ya Taifa ya Guniea Bissau :Mabweha.
Mavazi ya rasmi:nyekundu na kijani.
Nafasi yake kwenye orodha ya Fifa :118
Wachezaji wa soka ya taifa la Jamhuria ya Guniea Bissau ni :
Golikipa |
1 Jonas Mendes 12 Baba Mbayi 23 Rui Dabo |
Beki |
Agustinho Soares Emmanuel Mendy 6 Ardison Mendes 14 Juare Suarez 22 Pipi ya Mamadou 5 Rodinislon Silva Thomas Dabo |
Kiungo |
21 Aldair Adolai 10 Bocondji Sa 8 Francisco Junior Adresa Camara 3 Lassana Camara Nani Soares 18 Picchetti Tony Silva 7 Zizinho |
Washambuliaji |
9 Abel Camara Carlos Empalo Frederick Mindy Joao Mario LOSESIO Julio Sami |
Comments