Vijana wa mchezo wa mpira wa mikono wanashinda Jamhuri ya Kongo ya Demokrasia katika michuano ya kiafrika

 Timu ya vijana wa mchezo wa mpira wa mikono ilishinda mwenzake huku ya Jamhuri ya Kongo ya  Demokrasia kwa 40/17 katika  mechi yake ya nne kwenye michuano ya kiafrika inayofanyika huko Niger .

Na kwa ushindi huo , timu hiyo iliendelea kuangaza nje ya nchi kuhakikisha ushindi wa nne kwa mfululizo baada ya kushinda Niger , Ginia na Algeria .

 

 Siku ya jumanne, timu ya kimisri ilikutana na timu ya Niger katika mwanzo wa njia ya michuano , ikishinda 43/8 , ikashinda Ginia 33/26 katika mechi yake ya pili kabla kupumzika katika siku ya Alhamisi , ikashinda timu ya Algeria 36/15 siku ya Ijumaa kisha timu ya Kongo 40/17 .

 

inayotarajiwa kukutana na Angola Kesho jumapili kabla ya kuhitimisha mechi zake tarehe 24 kwa kukutana na Tunisia .

 

Ujumbe wa timu hiyo unajumuisha vijana wanaozaliwa mnamo mwaka 2002 Mona Amin mkuu wa ujumbe , Ramy Abdel Latif Maneja wa kiufundi , Walif Abo Ata kocha mkuu , Khaled Othmane Kocha wa kipa , Eman Morgan Maneja wa kiidara , Mohamed Solaiman mchunguzaji wa kiufundi na Zinab Basha Mwanasaikolojia .

 

Wachezaji Mariam Osama   , Amina Hisham , Mariam Omar , Sara Yasser , Sara Yehya , Rahma Mohemed Abdelsalam , Moja Ayman , Nora Mahmoud , Rawan Saaid , Yassmin Negmy , Salma Yasser , Hana Lashin, Jana Salah , Shahd Hosam , Mennatallah Said na Yassmin Gamal .

Comments