Waziri wa vijana na michezo na Gavana wa mkoa wa Fayoum wanafungua shughuli ya maendeleo ya klabu ya karibu ya spoti na wanaweka Jiwe la msingi la bwawa la kuogelea , Uwanja, na Kikosi cha Skwashi

Waziri wa vijana na michezo na  Gavana wa mkoa wa Fayoum wanafungua shughuli ya maendeleo ya klabu ya karibu ya spoti na wanaweka Jiwe la msingi la bwawa la kuogelea ,  Uwanja, na Kikosi cha Skwashi

 

 Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo anaambatana na Essam Saad Gavana wa mkoa wa Fayoum alifungua shughuli za maendeleo zilikwisha kumalizika katika klabu ya karon ya spoti zinazojumuisha ( mchanganyiko wa sebule zinazofunikwa , mchanganyiko wa sebule za mazoezi na Uwanja wa michezo wa michezo mingi) mwanzoni mwa ziara yake ya shamba  na hivyo katika kupatikana kwa wanachama wa klabu na bodi ya wakurugenzi na idadi kadhaa za

Uongozi Mtendaji katika wizara ya vijana na michezo na mkoa wa Fayoum

 

Na Dokta Ashraf Sobhy aliweka jiwe la msingi kwa bwawa la kuogelea, uwanja wa michezo wa mpira wa miguu wa kanuni na mchanganyiko wa Skwashi klabuni , pamoja na

Ziara yake ya ukaguzi kwa majengo ya klabu na alitazama kile kinachotoa kutoka huduma za

michezo na kwa vijana Kwa wanachama wake pamoja na kufuata kwa shughuli za spoti zinazofanywa ndani yake

 

Waziri na vijana na michezo aliyasifu majengo bora  ya vijana na ya michezo katika klabu ya Karon ya michezo na yatayochangia kwa  kiwango kikubwa katika Kufunua vipaji vya vijana mkoani kupitia kuwapa mazoezi ya michezo katika majengo haya katika michezo mbalimbali , akizingatia klabu ya karon kama

ongeza kubwa kwa majengo ya michezo nchini Misri

 

Na waziri alilisifu jaribio la bodi ya wakurugenzi ya klabu ya Karon  ya michezo na jukumu lake muhimu la uwekezaji bora wa majengo ya klabu , kuongeza mapato yake na kufaidika kwake katika kuendeleza miundombinu klabuni na Kupanua shughuli zinazotolewa katika njia inayokutana na matamanio na nia za wanachama wake pamoja na usaidizi wa wizara kwa klabu ili kuanzisha uwanja wa mpira wa miguu kwa Vipimo vya kisheria

Dokta Ashraf Sobhy alionyesha kiwango cha uwekezaji wa sekta binafsi katika vituo vya vijana na unaofikia  paundi milioni 500 hata sasa miongoni mwa mpango ambao wizara  inaufuatilia kuelekea uwekezaji katika vituo vya vijana katika mikoa yote ya jamhuri ili kuamsha usimamizi wake wa kiuchumi na ambacho kinapelekea kuendeleza miundombinu ya vituo hivyo kwa kushirikia kwa sekta binafsi

Katika mfumo wa kupunguza mzigo kwenye bageti ya serikali

 

Na kwa upande wake Gavana wa mkoa wa Fayoum alikaribisha ziara ya waziri wa vijana na michezo kwa majengo ya michezo ndani yake na akisifu jukumu la waziri wa vijana na michezo la usaidizi na kuendeleza majengo ya michezo na ya vijana mkoani

Comments