Waziri wa vijana na michezo anateua (Afifi ) kwa uanachama wa majumba ya utamaduni

 Dokta Ashraf Sobhy "waziri wa vijana na michezo" alifanya kuteua Ahmed Afifi "mwenyekiti wa idara ya kati kwa miji ya vijana katika wizara ya vijana na michezo' kwa uanachama baraza la idara ya shirika kuu kwa majumba ya utamaduni .

 

Uamauzi wa waziri wa utamaduni namba ya 575 umetolewa kwa mwaka 2019 ili kujumuisha mwakilishi wa wizara ya vijana na michezo kwa miji ya vijana kwa uanachama wa baraza .

 

Kipindi kijacho kinashuhudia ushirkiano mkubwa kati ya wizara ya vijana na mchezo na pia wizara ya utamaduni ili kuhuduma vijana , wakati ambapo miongoni mwake yanayofanyika toka kameshina kuu kwa majumba ya utamaduni  yanaozingatiwa moja ya taasisi za kimisri za kiutamaduni yenye mchango mkubwa wa kutoa huduma za kiutamaduni na kiufundi.    

Comments