"Idhaa ya Vijana wa Afrika " Tija bora nyingine kwa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi

kulingana na Udhamini wa Nasser kwa Uongozi uliofanyika nchini Misri Juni 2019, Idhaa ya vijana wa Afrika iliundwa , Udhamini ambapo washiriki wake walizuru mji wa Utoaji wa vyombo vya habari na walijua majukwaa tofauti ya vyombo vya habari na jukumu la vyombo vya habari kwa ujumla kwa ajili ya kufikia watu wengi.

na wakati wa mikutano ya mazungumzo , kikundi cha vijana viongozi wa pembe zote za Afrika waliwahi kuweka njia ya mawasiliano inayounganisha vijana waafrika , na inawapa nafasi ya kushirikiana taarifa na kuwasiliana pamoja kwa uhuru na kuwawezesha.

baada ya wahitimu wa Udhamini wa Nasser waliwahi thamani ya vijana kama rasilimali kwa Afrika , waliamua kutekleza hivyo , basi kwamba walishirikiana ili kufanya mabadiliko chanya , walifanya mengi kwa ajili ya maendeleo ya jamii zetu , nchi zetu, bara la Afrika na ulimwengu mzima.

wameunda jukwaa la idhaa ya vijana wa Afrika kwa ajili ya kushirikiana nafasi zinazohusu vijana waafrika, kama mikutano, Ufadhili wa kimasomo, mashindano, na programu za mafunzo.

pia Idhaa ya vijana wa Afrika inalenga kushirikiana visa vya vijana viongozi wanaofanyika tofauti katika jamii mbalimbali kwa ajili ya kuzieneza , pia ili visa vya mafanikio yao vinasisimua vijana wengine waafrika kwa kushirikiana katika kuunda nafasi ya kubadilishana ujuzi wao, taarifa zao, na mawazo yao.

Kauli mbio ya Idhaa ya vijana wa Afrika ni " Kutendana, Elimu, na Uwezaji" inayosambamba na mpango wa Umoja wa kiafrika " milioni moja kwa kufikia 2021" pamoja na kuashiria kwamba nguzo kuu zake ni ' Ushirikiano, Elimu, Ajira, na Ujasiriamali"

inapaswa kutajwa kwamba waanzishi wa Idhaa ya vijana wa Afrika ni wahitimu wa Udhamini wa Nasser toka Uganda, Rwanda, Kenya, Cameron, Gambia, Zimbabwe.

na katika video hii bwana Togom Shafik Zogmir (toka Uganda ) naye ni mhitimu wa Udhamini wa Nasser kwa mwanzishi mshiriki katika idhaa anafafanua mtazamo wa mpango huu, ujumbe wake, na malengo yake, na anawaita vijana waafrika kushirikiana katika kuunda nafasi yenye Usalama toka kwao na kwa ajili yao ili kuweza kubadilishana Maelezo yao, Taarifa zao, na mawazo yao kwa uhuru.

Comments