Abd El-hak na Saad wanakutana na kifaa cha timu ya mpira wa wanawake

 Dokta sahar Abd Elhak ni mwanachama wa baraza la idara ya timu ya misri kwa mpira wa miguu na pia ni msimamizi mkuu juu ya mpira wa wanawake na pia Dokta Mahamoud Saad ni mkurgunzi wa ufundi kwa shirikisho walifanya kikao cha kwanza kwa kifaa cha kifundi kwa timu ya kitaifa kwa mpira wa wanawake kwa uongozi hussin abd alatif ni bingawa wa misri na klabu ya zamalk aliyepita kwa kuhudhuria wajumbe wa kifaa cha kifundi ambacho kinajumuisha mustafa monir ni kocha mkuu ,fayza hedar ,mohamed mohusin ni kocha wawili ,Basam Kherit ni kocha wa kipa ,Ahmed Kamal ni mkurgunzi wa timu ,Dokta Walied Mandhor ni Dokta ,Rehab Taha ni mkurguzi wa idara ,Meret Saad ni mfanyakazi ,Dokta Heba Allah Fathy ni mwanasaikolojia na Hana Farouk ni mtaalam wa lishe .

 

Na kupitia kikao ilishawekwa muhtasari kwa mpango wa kuandaa Timu ya Misri chini ya miaka 20 ili kuwa tayari kucheza fainali za afrika katika mwezi wa januari ijayo kukarbiti kwa kombe la dunia chini ya miaka 20 .

 

Hussin Abd Alatif alisistizia kufanya fainali kwa timu ili kuchagua vipengele vizuri zaidi kupitia kambi ya mafunzo siku za 26 ,27 ,28 katika mwezi wa septemba huu katika moja ya hoteli ya Kairo akiongozea makambi mawili kupitia mwezi wa Novemba ujao baada ya mwanzoni mwa mchezo wa mpira wa wanawake utakaozindua katika nusu ya mwezi wa Oktoba ijayo na kucheza katika mashindano ya mchuano wa kirafiki cha afrika kaskazini utayefanyawa katika mwezi wa Novemba nchini Tunisia kwa ushirki wa timu za Lebya,Tunisia ,Moroco na Algeria.

 

Kwa upande wake Dokta Sahar Abd Alhak alieleza kwa furahi yake kwa kazi na kifaa cha kifundi kipya kwa timu ya mpira wa wanawake chini ya uongozi Hussin Abd Alatif na pia alisema kuhifadhia kutoa mchakato kwa mkurgunzi wa ufundi wana uzoefu wa kifundi juu ya ngazi juu ,kiasi kwamba ilishachaguliwa na kifaa chake cha msaidizi baadaya kusoma tawasifu kwa kila kochi kufutana na vigezo vya kiufundi juu ya misingi ya kisayansi kwa wafanya kazi wote .

 

Abd Alhak aliongeza kuwa itafanya kazi juu ya kuandaa timu ya wasichana chini ya miaka 20 ili kukarbiti kama nyuklia kwa timu ya kwanza mnamo siku zijazo .

Comments