Kambi ya "timu ya ukumbi" inazindua siku ya Alhamisi

Kambi ya timu ya kitaifa ya mpira wa ukumbi inazindua siku ya Alhamisi ijayo tarehe 26 mwezi tisa huu kujiandaa kwa safari ya Bahareni kuongozwa na Sahar Abdelhak mwanachama wa Baraza la usimamizi wa shirikisho, msimamizi wa mpira wa tano kufanya mechi mbili za urafiki pamoja na timu mbili za nchi ya Bahareni na falme za kiarabu kujiandaa kwa kombe la Afrika inayostahili Kwa kombe la Dunia nchini Morroco.

Orodha inajumuisha mchezaji kumi na Sita nao ni: Gamal AbdelNaser, Mahmoud Abdelwahab shobeir, Abdulrahman Abbas, AlMoataz bellah Samy, Moamen Hemdan, Mohanad Hanafy Awad, Ibrahim Awad, Ahmed Abdelkader, Mostafa Eid, Tarek Hassan, Mohamed Saed, Khaled Abdallah, Abdulrahman Eid Moawad, Mohamed Abdulhamed, Mohamed Essam Ahmed na Mostafa Abdulmajeed.

Comments