Giana Farouk, mchezaji wa karate katika klabu ya Al-ahly ameweza kushinda nafasi ya kwanza na medali ya kidhahabu ya michuano ya kimataifa ya (Series A) iliyofanyika nchini Chile.
Giana ameweza kushinda nafasi ya kwanza ya michuano hiyo
katika mashindano ya Kometeya kwa uzito wa kilogramu 61, baada ya kushinda
kwake kwa mechi ya fainali dhidi ya mwenzake wa Urusi kwa tija (5-0), ili anaendelea
kuhakikisha mafanikio, hiyo baada ya kufuzu kwake hivi karibuni kwa medali ya
kidhahabu ya ligi ya dunia.
Inayojulikana kuwa michuano ya (Series A) ni mojawapo ya
michuano kubwa za karate, na mshindi anapatia pointi inaongezwa kwake ili
kuboresha nafasi yake ya kidunia, pia michuano hiyo inachangia kufikia Olimpiki
za Tokyo 2020, ambapo Giana Farouk anatarajia kufikia Olimpiki hizo.
Comments